Mm naweza sema watu wengi huwa wanaamini kazi za serikal huwa ni lahisi san,, katika sector yoyote ile ya kiselikal huwa inazoongwa na watu wengi ambao ni waitaj, ko unakut watu zaid ya 100 wanaitaji huduma kwa pamoja lkin ukiangalia kila kazi ya mtu mmoja inachukua zaidi ya nusu saa unategeme ww unaetakiwa kupata huduma lazima usubili zaid