Kuhusu cheti Rita

Kuhusu cheti Rita

Omaryjr1

Member
Joined
Jun 8, 2017
Posts
17
Reaction score
25
Habari wakuu naomba kujua inachukua muda gani? Hadi rita kurudisha majibu baada ya kufanya maombi ya uhakiki wa cheti
 
Habari wakuu naomba kujua inachukua muda gani? Hadi rita kurudisha majibu baada ya kufanya maombi ya uhakiki wa cheti

siku 5 mpka 7.ila now hata mi nimeshangaa nime upload chet hi inaenda siku ya 10 bado hakijarud
 
Mm naweza sema watu wengi huwa wanaamini kazi za serikal huwa ni lahisi san,, katika sector yoyote ile ya kiselikal huwa inazoongwa na watu wengi ambao ni waitaj, ko unakut watu zaid ya 100 wanaitaji huduma kwa pamoja lkin ukiangalia kila kazi ya mtu mmoja inachukua zaidi ya nusu saa unategeme ww unaetakiwa kupata huduma lazima usubili zaid
 
Cheti kinachukua siku 5 had 10 za kazi ila ni kulingana na muda au nyakati gani umetuma? Lakn pia nikulingana na imeingia kwenye server ipi mtu anayeendesha hio yuko chap kias gan unaweza tuma kikapokelewa kwenye server ambayo mwendeshaji yuko busy na mambo mengne majibu lazima yatachelewa bila kusahau wanaanza kufuatilia kama chet ni halisi sio cha kubumba ila pia kwenye kutuma chet unachagua unatuma kwa lengo gan inaweza kuwa ya mkopo, bima etc kama ni mkopo siku za mwanza huwa wanatumia hizo siku 5 na kuendelea kinaweza maliza had mwezi kama unawahi sana unaweza wapigia namba zipo ili wakujibu lakin kwa issue hio ya mkopo siku zikikarbia kuisha za kuomba wanakuwaga chap unaweza kukituma asubuh kikarudi mchana au jion yangu ni hayo tu sio mzoefu sana
 
Back
Top Bottom