Kuhusu Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam

Shabby kng

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
41
Reaction score
6
habarini za sizi wana jamvi mimi kwenye application yangu ya second round chuo cha kampala ndo nimeandikiwa successful selected kwa bachelor of art with education sasa wanajamvi vipi kuhusu mazingira ya hiki chuo na utoaji wake wa taaluma maana na je tcu walivoniandikia hvo ndo nitapata moja kwa moja au kuna kukosa
 
Hahaaa usimsikilize kuna watu wanapenda kukatisha wenzao tamaa vibaya hicho chuo mm nakijua ila sisomi hapo ila kuna rafiki yangu anasoma hapo na huwa na visit sana pande hizo chuo kwa mazingira ni kizuri zaidi ya uzuri yaan kina sifa zote kwa mazingira, kwa taaluma pia wanajitahidi japo kwa miaka ya nyuma kilikuwa kinatia aibu mno ila kwa mujibu wa rafiki yangu anasema wako poa.

Mwisho iyo ndo imetoka ujijue tuu ww huko ndo unapoelekea
 
mkuu asante kwa ushauri wako wenye akili
 
hata UDSM cha kikuda ukitoka na GPA 2.2
kuna watu mnapenda sana kudharau vyuo vingine mbona kuna waliosoma udsm wapo mtaani wanasugua rami kutafuta kazi mchana kutwa na bado wanapigwa fimbo na vyuo vingine sa hivi watu wanaangalia uchapa kazi sio kujivuna eti kisa umetoka udsm
 
ada ndo kubwa pale wengi wanakimbiaga maana mkopo wa heslb hautoshi, kwa mfano jamaa alipata kuc ada ilikua mil 6 na mkopo ml1.9 ikabidi aarishe mwaka mzima aaply upya!
 

Nenda kasome tuu, ila utatoka na GPA ya 4.8 so worry out.
 
kuna watu mnapenda sana kudharau vyuo vingine mbona kuna waliosoma udsm wapo mtaani wanasugua rami kutafuta kazi mchana kutwa na bado wanapigwa fimbo na vyuo vingine sa hivi watu wanaangalia uchapa kazi sio kujivuna eti kisa umetoka udsm

umedandia treni kwa mbele. hujaelewa logic yang iko wapi. we division 4 ya penati nn?
 
wanaosema kampala ni chuo kibaya waje na logic,je hakina mazingira rafiki kwa mwanafunzi?au hakuna maabara?au walimu hammna..Nijuavo mimi tatizo la kampala university lilikuwa ni ada tu,mfano bpharm zamani ilikuwa almost 9milioni kwa mwaka ila sasa hivi ni m3.8, na mkopo unapewa 3m .kutokana na wanafunzi wengi kutokuwa na uwezo wa kulipa ada walikuwanaomba ni wachache ili mradi wawe na minimum qualification
 
wanaokiponda ni wale wanaojiona wako deep na chuo chao cha udsm wakati wapo kitaa udsm wengi wamasugua rami acheni kudharau vyuo mandeziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

chuo kizuri sana kipo eneo zuri...masomo yapo fresh sana ila nakuonya tu wanawake wanafunzi ni wahuni mnoo hlf tske care na waendesha bodaboda na wapiga debe wa gongolamboto wana pola sana wanawafunzi
 
chuo kizuri sana kipo eneo zuri...masomo yapo fresh sana ila nakuonya tu wanawake wanafunzi ni wahuni mnoo hlf tske care na waendesha bodaboda na wapiga debe wa gongolamboto wana pola sana wanawafunzi
Uko sahihi mkuu,nina mpesa yangu pale gongolamboto stand,,wengi wa wasichana pale wamepanga na wavulana wanachuo wenzao
 
Dogo njoo hapa upige shule. Mazingira ni mazuri kama ni msomaji utafaidika sana.

Siku za nyuma kulikua na malalamiko kibao hasa waalimu (wengi walikua waganda) na manejimenti kwa ujumla.

Ila kwa sasa hali ni tofauti, japo si sana, ila baada ya muda kila kitu kitakua sawa.

Kuna mdau kasema ada ni kubwa sana!! Hili suala TCU waliingilia kati na ada zimeshushwa kwa kiwango kikubwa sana. Kwa sasa ada si tofauti sana na vyuo vingine vya binafsi.
 

Kuna rafiki yangu alikuwa anasoma apo kampala , alikuwa anakaa hostel, kuna siku nilienda kumtembelea bhana hostel, dah nikakuta watoto wanapiga lugha vibaya, sema wanajisikia sana, kila mtu anajifanya mtoto wa kishua wakati wengine walala hoi.

Ni chuo kizuri kama mwanafunzi anapenda kuongea au kujifunza kuongea english vizur, maana wanafunzi wa pale mda mwingi wanapenda kugonga yai so lazima na wew utajua tu, kuhusu ufaulu nadhan kawaida sana.

Ila ningewashauri tu wale wanafunzi wenye uwezo kidogo na wanaopenda kujifunza lugha maana asilimia nyingi ya watu wanaosoma degree bongo lugha hawaijui, so ni aibu kwa kweli, kile chuo safi wanapiga lugha vibaya.
 
gpa ya kupewa. hata ukikakaa nyumbani miezi 3 ukienda kufanya mtihani lazima ufaulu pale

huyo aliyekaa miezi mitatu na akaenda kupiga pepa akafaulu ni wewe au umejisikia tu kuandika? njoo na data kamili sio unakurupuka tu kuandika ili uonekane umejaza page.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…