Kuhusu chupi (Challenge)

Kuhusu chupi (Challenge)

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,785
Nianze na utangulizi.

"Sredi" hii naileta kwenu ikiwa ni maalum kutoa challenge kwa mheshimiwa Mshana Jr, dhidi ya uzi wake aliyouleta hapa unaosoma kwa headin, "Kuvaa chupi ya mpenzi wako si limbwata bali ni mapenzi"

Aidha, ni challenge kwa wale waliochangia negatively.

Sina tatizo na wanawake kuvaa pant because wao mambo yao ni mengi!
Hususan (their trip/journey to NASA kunako ma-airspace)

Lakini kwa wanaume chupi ya nini? Hivi kazi ya chupi ni nini? Ukivaa haionekani!
Nani atakaekujua barabarani, ofisini kuwa hujaivaa?

Usipoivaa haionekani! Nani atajua hujaivaa? Na ikiwa umeivaa chupi ikionekana utaambiwa uko uchi.
Ukiamua kuvua nguo ubaki utupu, mathalan fukweni ukaogelee, watakwambia hujavaa chupi.

Sasa ya nini tuhangaike na nguo iliyojaa usiri na utata?

While wearing pants affect a man's fertility reproductive system parts!
It resist blood & other glands flow well through to penis.
Hizi testicles zinatakiwa always ziwe karibu-karibu zimeshkanashkana lakini chupi inazi-split zinakaa far from one testicle to another.

Nimalize kwa kusema natoa rai wanaume hamna haja ya kuvaa chupi za wapenzi wenu , wala zenu binafsi.
Hoja imeungwa mkono!
Sioni umuhimu wa kuwahoji.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa naomba niwe wa kwanza kabisa kuchangia uzi huu...! Hii nikama challenge kwa uzima wangu ulioutaja

Hata hivyo umuhimu wa kutinga hii makitu bado upo, kwakuwa umawasitiri wengi hasa wale walojaliwa libido la kufa mtu, nyege kaa fisimaji, asione paja la mdada ngoma hiyo, kwa hali hiyo ukivaa chupi ya kubana itakustiri na aibu ya kutunisha au kutoboa salawili na hata kuchafua suriali

Lakini kumbuka kuna wale ndugu zangu hawatupi Nguo mpaka iwe kama net, hivyo nao hupata ahueni mno kwa kuvaa chupi imagine jamaa suruali imetoboka makalioni halafu analia ---- jeusi tiiii na kapanda daladala halafu kasimama au ana mkono w sweta na Zipu imekorofisha!!!!! Judgement acha kabisa kaka kuvaa chupi kuna faida zake
Vile vile kuna wale ambazo kupitisha kiwembe huku kwa mgosi ni kasheshe, huachia mambo yakawa kama afro huyu asipovaa chupi na suruali ikamvuka kwa bahati mbaya hahahaaaaa

Anyaway tuachane na hilo vp ishu yetu ile?? Nataka nianze kualika wadau
 
Judgement hivi kweli unatulazimisha watu wazima tuanze kuandika ;chupi;
Na kama kawaida yangu nikuswalike kidogo;
chupi ni ipi kwani,
nilishaona zile za kutaiti au wanaita ni banangenge
nikaona zile zingine ni ndefu hadi magotini
nikaona na zile ziko kama kaptula fulani hivi
........... niliona ni kwenye picha siyo ile ya kuona laivu......
nipe jibu unasemea zipi, ukiweza weka na kaphoto.
 
Kiongozi Jr hoja zako nimeziona japo ziko mashikoless nazipokea kwakua ndy hoja zako na hauna nyingine.
Btw agenda ile iko mezani naichakata! Vuta subira.
 
Ntarudi baadae kidogo kutoa mchango wangu ju ya swala hili
 
Judgement hivi kweli unatulazimisha watu wazima tuanze kuandika ;chupi;
Na kama kawaida yangu nikuswalike kidogo;
chupi ni ipi kwani,
nilishaona zile za kutaiti au wanaita ni banangenge
nikaona zile zingine ni ndefu hadi magotini
nikaona na zile ziko kama kaptula fulani hivi
........... niliona ni kwenye picha siyo ile ya kuona laivu......
nipe jibu unasemea zipi, ukiweza weka na kaphoto.

Hivi kweli Mamndenyi na umri wako huo, nikufundishe , what is chupi?
Sitaki kuamini kama nafaa kua lekchara wako ktk hilo.
 
Last edited by a moderator:
Ntarudi baadae kidogo kutoa mchango wangu ju ya swala hili

Mchango upi sasa Shemeji ?
Michango iko aina nyingi.
Kuna mchango wa maumivu ya tumbo, michango ya mikwanja , michango ya ........
 
Judgement hivi unajua kuna kitu ukikitamka tu kinahamisha mawazo?

Ni sawa!
Bt kwa wenye mawazo yaliovia na kudumaa ndy watahamishwa ktk hili.
Staki kuthubutu kuamini categorically wewe utakua miongoni mwa waliohamishwa mawazo.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwani chupi si stara? Apo ukikaa vibaya chupi ikaonekana ukaambiwa umekaa uchi basi pia afadhali itakua imekustiri. Kuliko kukaa vibaya madubwana yakawa nnje mojakwamoja itakua aibu zaidi.
Hlf chupi pia si inasaidia kueka madude vizuri? ( yaani kuyastiri yasining'inie kutwa, iwapo utavaa suruali tu pekee)
Inasaidia pia kukuepusha na harufu mbaya ya jasho la sehem ya mapajani. Ambalo pia linaweza kukusababishia michuniko. Jasho litoingia kwenye chupi harufu ni tofauti na kuingia kwenye suruali kutokana na utofauti wa vitambaa.

Kuna wanaume wengine wana ugonjwa wa kudisa disa na kutoa ule Ute, sasa kama mambo yatakua hayajastiriwa si itakua aibu jamani?
Hayo ni maoni yangu tu, mana mi ni 'ke'
 
Chupi underwear!

chupi kama hii...

428255_10151343110867829_1360268432_n.jpg
 
Ila Judgement pichu ni muhimu ndugu yangu.. Maana kuna wakati mpododo unataka sifa na kusimama hadharani wakati umeulamba.. Bila ya pichu itabidi uweke mikono mifukoni lol..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha kabanga.. Hii lazima itakuwa pichu ya Bujibuji aliisahau mtaroni lol...

Nimecheka sana nilivyoiona hii chupi.hahahhaaaaaaaaaaaa.......................................haahaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........................................haaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.........................................................................uuuuuuuuuuuuuuuuwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..............................
 
Back
Top Bottom