Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Mkiambiwa mmeshikiwa akili mnajichetua, hapa unaona umeandika la maana?Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
hoja kwa nini tujadili vitu ambavyo havina athari za taifa kwetu? Mambo yote aliyosema zito ni ukweli mtupu sasa tujadili nini? Lazima tujadili Yale ambayo yanaathari kwa taifa loteHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Asante kunisaidia kumjibu kistaarabu.hoja kwa nini tujadili vitu ambavyo havina athari za taifa kwetu? Mambo yote aliyosema zito ni ukweli mtupu sasa tujadili nini ?Lazima tujadili Yale ambayo yanaathari kwa taifa lote
Hahhahaa Ila tuna Bunge LA ajabu sanaBunge lilikiwa bado halijajua kwamba ana undugu na rais.
Ni Mtakatifu Mwenyekiti, he knows everything....Hivi kama taifa great thinker wetu ni Nani?maana tulipuuza corona sasa ipo kariakoo
Hivi kama taifa great thinker wetu ni Nani?maana tulipuuza corona sasa ipo kariakoo
Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Mungu saiidia huyu kichaaHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Wabunge woteWabunge wengi wa ccm ni hasara kwa taifa
Haya maigizo yanapatikana Tanzania pekeeeSerikali haijatamka hadharani kwamba imetenga kiasi Fulani cha fedha kwa ajili ya ugonjwa wa Corona, Je sehemu walizotenga kupokea wagonjwa kuna , mask, gloves , protective clothes . Leo tunaambiwa fedha za mwenge zinapelekwa kwenya ugonjwa wa corona ,let be seriously with covid -9
Hii comment haiendani na id yako.Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!