Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika.
Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni stahimivu.
Deni haliwezi kua tamu, deni ni chungu sababu tutalazimika kukata baadhi ya matumizi ya maendeleo ili kulipa deni hilo.
Kwa upande mwingine pia, deni hilo ndio hizo pesa tulizotumia katika miradi mbalimbali ya maendeleo kama barabara, vivuko, hospitali nk. Kwaiyo deni limesaidia kutatua shida na bado deni litatubana katika kulilipa.
Waswahili wanasema kukopa sherehe kulipa matanga. Bajeti hii ni ya wananchi na huu ndio ukweli.