Kuhusu Deni la Taifa

Kuhusu Deni la Taifa

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika.

Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni stahimivu.

Deni haliwezi kua tamu, deni ni chungu sababu tutalazimika kukata baadhi ya matumizi ya maendeleo ili kulipa deni hilo.

Kwa upande mwingine pia, deni hilo ndio hizo pesa tulizotumia katika miradi mbalimbali ya maendeleo kama barabara, vivuko, hospitali nk. Kwaiyo deni limesaidia kutatua shida na bado deni litatubana katika kulilipa.

Waswahili wanasema kukopa sherehe kulipa matanga. Bajeti hii ni ya wananchi na huu ndio ukweli.
 
Ukate baadhi ya matumizi kwani uchumi uko stagnant?

Deni halijawahi kuwa na shida hata siku moja na Nchi zote zinakopa na huwezi fanya maendeleo bila kukopa
 
Bia yetu A.K.A Robot machines, yani ikitua tu mada inayohusu serikali ile ya nchi ya kusadikika, basi nawe unajibu 1 kwa 1 hata kabla ya kupita sekunde kadhaa [emoji38]
 
Back
Top Bottom