Kuhusu Derby ya Kariakoo, huu ndio ushauri wangu kwa TFF na Bodi ya Ligi

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.

Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji siku moja kablaa ya mechi.

Hiki kifungu tangu sasa kifutwe kabisa na kitamke kuwa kila timu itafanya mazoezi kwenye kiwanja chake na watakutana kwenye kiwanja kilichopangwa na Bodi ya ligi kwa ajili ya mchezo huo kwa tarehe husika.
 
Huna akili wewe, timu ikitoka kwenda tabora kiwanja watapata wapi?
 
Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.

Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji siku moja kablaa ya mechi.

Hiki kifungu tangu sasa kifutwe kabisa na kitamke kuwa kila timu itafanya mazoezi kwenye kiwanja chake na watakutana kwenye kiwanja kilichopangwa na Bodi ya ligi kwa ajili ya mchezo huo kwa tarehe husika.
Uo ni Mwongozo wa CAF huwezi wewe mwanachma ku uondoa.
Iyo kanuni aina shida ila Bodi ndio walioleta shida.
Mwenyeji akikukatalia kufanya mazoezi peleka barua ya malalamiko kwa mamlaka husika.
 
FB_IMG_1682646137959 (2).jpg
 
Yaani kifungu kifutwe kisa mechi moja tu imeleta shida na timu iliyoleta shida inajulikana wazi? Simba na Yanga wanaenda mikoani kila siku na wanatumia na kufaidika na hiyo hiyo kanuni na hawapati shida ukiacha lile tukio la Mwanza.

Kiufupi, msimu huu Simba imekuwa mhanga wa matukio yasiyopungua mawili yanayohusiana na hiyo kanuni ila hausikii wakiomba hiyo kanuni ifutwe maana hiyo siyo suluhisho la tatizo lililojitokeza.
 
Huu mwiko mpaka siku uje kutoka huko mtateseka sana.

Hii ni kanuni ya FIFA sio mihemko ya kiutopolo.

Mechi ipo na itachezwa.

Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.

Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji siku moja kablaa ya mechi.

Hiki kifungu tangu sasa kifutwe kabisa na kitamke kuwa kila timu itafanya mazoezi kwenye kiwanja chake na watakutana kwenye kiwanja kilichopangwa na Bodi ya ligi kwa ajili ya mchezo huo kwa tarehe husika.
 
Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Mbona sijaona Simba wakivutana na yeyote wanasubiri game.

Simba iondoe hapo kwenye orodha ya wanaovutana
 
Au kama kikibaki kiseme,timu mwenyeji akifanya figisu kuzuia au kuichelewesha timu ngeni kufanya mazoezi,bodi inaweza kuamua kuinyang' anya timu mwenyeji pointi au kuupekeka mchezo huo kwenye uwanja ambao timu ngeni imefanyia mazoezi ya mwisho.
Timu ngeni italazimika kufanya mazoezi uwanja uliopangwa pasipo kufanya hila ili waonekane wamezuiwa.
 
Wewe toa ushauri wako. Acha maneno ya kashfa. Kwani kifungu kikiwekwa na FIFA ni msahafu. Kifungu kinaweza kurekebishwa pale panapoonekana kuna kasoro.
 
Miaka 4 mnafanya mambo sio yakimpira, tumewaonjesha joto ya jiwe. Mkiweka helana kudhamini timu kimichongo.Sisi tutaingiza marefa katika payroll kabisa. Dawa ya watu wa hovyo ni kuwa hovyo kama wao teh teh.

Tuongeze na kifungu mtu asipopita geti kuu, hakuna mechi na point tatu anufaike mwingine.
 
Back
Top Bottom