Kuhusu Derby ya Kariakoo, huu ndio ushauri wangu kwa TFF na Bodi ya Ligi

Kuhusu Derby ya Kariakoo, huu ndio ushauri wangu kwa TFF na Bodi ya Ligi

Uo ni Mwongozo wa CAF huwezi wewe mwanachma ku uondoa.
Iyo kanuni aina shida ila Bodi ndio walioleta shida.
Mwenyeji akikukatalia kufanya mazoezi peleka barua ya malalamiko kwa mamlaka husika.
Mmezoea malalamiko mnadhani kila jambo ni kulalamika.

Safari hii mnalo na ratiba ndio ilishatoka
 
Simba iondoe hapo kwenye orodha ya wanaovutana
Haya mautopolo kila yakiongelea ujinga wao lazima yaihusishe Simba. Simba ilishamaliza ilipogomea mchezo kufuatia uhuni wa Utopolo. Haihusiki na mechi kuahirishwa na Yanga kugomea mechi.

Kila timu igome kivyake.
 
Back
Top Bottom