Huna akili wewe, timu ikitoka kwenda tabora kiwanja watapata wapi?Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji siku moja kablaa ya mechi.
Hiki kifungu tangu sasa kifutwe kabisa na kitamke kuwa kila timu itafanya mazoezi kwenye kiwanja chake na watakutana kwenye kiwanja kilichopangwa na Bodi ya ligi kwa ajili ya mchezo huo kwa tarehe husika.
Uo ni Mwongozo wa CAF huwezi wewe mwanachma ku uondoa.Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji siku moja kablaa ya mechi.
Hiki kifungu tangu sasa kifutwe kabisa na kitamke kuwa kila timu itafanya mazoezi kwenye kiwanja chake na watakutana kwenye kiwanja kilichopangwa na Bodi ya ligi kwa ajili ya mchezo huo kwa tarehe husika.
Mtu ametoa hoja, mjibu kwa hoja na kwa kumuelimisha! Badala ya kumshambulia yeye kama yeye.Huna akili wewe, timu ikitoka kwenda tabora kiwanja watapata wapi?
Naunga mkono hoja kuwa Hana akili.Huna akili wewe, timu ikitoka kwenda tabora kiwanja watapata wapi?
Hujaona hoja yangu? Timu ikienda mkoani uwanja inapata wapi?Mtu ametoa hoja, mjibu kwa hoja na kwa kumuelimisha! Badala ya kumshambulia yeye kama yeye.
Ndiyo ungemuelimisha tu, badala ya kumwambia hana akili!Hujaona hoja yangu? Timu ikienda mkoani uwanja inapata wapi?
Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji siku moja kablaa ya mechi.
Hiki kifungu tangu sasa kifutwe kabisa na kitamke kuwa kila timu itafanya mazoezi kwenye kiwanja chake na watakutana kwenye kiwanja kilichopangwa na Bodi ya ligi kwa ajili ya mchezo huo kwa tarehe husika.
Mbona sijaona Simba wakivutana na yeyote wanasubiri game.Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Simba iondoe hapo kwenye orodha ya wanaovutanaKumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji siku moja kablaa ya mechi.
Hiki kifungu tangu sasa kifutwe kabisa na kitamke kuwa kila timu itafanya mazoezi kwenye kiwanja chake na watakutana kwenye kiwanja kilichopangwa na Bodi ya ligi kwa ajili ya mchezo huo kwa tarehe husika.
WatafuteHuna akili wewe, timu ikitoka kwenda tabora kiwanja watapata wapi?
Au kama kikibaki kiseme,timu mwenyeji akifanya figisu kuzuia au kuichelewesha timu ngeni kufanya mazoezi,bodi inaweza kuamua kuinyang' anya timu mwenyeji pointi au kuupekeka mchezo huo kwenye uwanja ambao timu ngeni imefanyia mazoezi ya mwisho.Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji siku moja kablaa ya mechi.
Hiki kifungu tangu sasa kifutwe kabisa na kitamke kuwa kila timu itafanya mazoezi kwenye kiwanja chake na watakutana kwenye kiwanja kilichopangwa na Bodi ya ligi kwa ajili ya mchezo huo kwa tarehe husika.
Sio kwenye mapenzi tu, hata kwenye mpira watoto wa efu 2 wanaujuaji mwingi.Huna akili wewe, timu ikitoka kwenda tabora kiwanja watapata wapi?