Uo ni Mwongozo wa CAF huwezi wewe mwanachma ku uondoa.
Iyo kanuni aina shida ila Bodi ndio walioleta shida.
Mwenyeji akikukatalia kufanya mazoezi peleka barua ya malalamiko kwa mamlaka husika.
Haya mautopolo kila yakiongelea ujinga wao lazima yaihusishe Simba. Simba ilishamaliza ilipogomea mchezo kufuatia uhuni wa Utopolo. Haihusiki na mechi kuahirishwa na Yanga kugomea mechi.