Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

miaka 67 ya Mpango linganisha na miaka 80 ya Wassira.

Huyo atakuwa hajaomba kupumzika bali kapumzishwa!
Amekataa kuendelea na hiyo kwa mambo ya hovyo kwa sasa. Amesema yeye ni Muaminifu kwa mola wake. Hata hivyo…. boss wake alishaonesha hamtaki tena….. kwa hekima zake kamrahisishia

Hata Job aliona wazi hawezi kufanya kazi na huyo mtu .
 
Taarifa RASMi ni kuwa Mpango ameomba kupumzika kwa sababu zisizo za kikazi lakini pia ni kwakuwa Umri wake umeenda (67) anahitaji kupumzika.

Kwa taarifa zisizo RASMI( unpublished data) ni kwamba Dr Mpango amekuwa haridhishwi na namna nchi inavyopelekwa kwa sasa.kuna namna fulani nchi inaendeshwa kifamilia hasa kwenye uwekezaji wa resources .

Kwa mfano, uwekezaji wa DP world Tangu ile Safari ya Dubai, Dr Mpango alikuwa against na process nzima, resources za nchi zinaenda kuamuliwa kwenye expensive hotels na restaurants kwa watu ambao hawakuwa na good reputation. Hata kipindi cha mjadala, Dr Mpango hakuwahi hata siku moja kucomment anything about DP world maana alijua ni . HASARA nyingine kwa taifa. DP world ni another SCAM , wake up !!!!!!

Kama mnavojua, Mpango ni Mtu Mwema na ni Mcha Mungu wa kweli anaumia na mali za Umma zinavyouzwa hivyo kupelekea ukinzani na Boss wake kwenye decision kwa kuwa Boss amezungukwa na walaji na wolfs hatari.

Aidha, Ishu ya Adani group inayopigiwa debe na kafulila kwa sasa, nyuma ya huyo Muhindi kuna Big Dogs tayari wapo set up.. mchakato mzima Mpango anaujua na una interest za nani ... na hili pia anaonesha ukinzani nalo maana investment zinajadiliwa kwenye migahawa kwa kigezo cha expression of interest.

The Royal Tour ni another SCAM na matumizi mabaya ya fedha za Umma unnecessary, return ya Royal tour was worthless against expenditure , matumizi ya namna hii Mpango amekuwa kinyume nayo na mara nyingi amekuwa kama ameisusia kwenye ukimya wake …he is not satisfied hivyo amekataa kuwa sehemu ya udhalimu wa mali za Umma…….. Ikumbukwe Jamaa alikuwa Waziri wa Fedha enzi ya JPM .... anajua vema pato la taifa.

Kuna huyo anaitwa Katibu Binafsi wa Rais , anapiga pesa za nchi vibaya sana ….. Huyu ndio Msiri wa Boss na Mipango mingi… pia, skendo za Abdul na Ufisadi ni sure thing ....MSIKILIZENI LISSU VEMA. Abdul sio mtumishi wa Umma lakini anamaamuzi kwenye nchi...Dr anakaa kando kwa kuchukia kwa kuwa hawezi kufanya lolote.

Ufisadi UMERUDI kama kipindi kileeee, Ukiwa na akili timamu kuna wakati inafika PESA inakuwa sio kila kitu bali uaminifu kwa mungu wako na dhamana aliyokupa....Mpango ni miongoni mwao.

Ni wakati sasa wa Kuanza kumuelewa Job ndungai..... Nchi Inauzwa! Miradi yote mikubwa yenye kichwa cha expression of interest na blah blah za kafulila za PPP..... ogopa sana ... nyuma yake kuna wahuni wanasukuma KETE vizuri sana huku wanakula tende na halua pembeni kuna kahawa nyeusi.

Tumepoteza Jembe ndani ya Serikali anaeweza kuchukizwa na UDHALIM NA UFISADI.......Dr Mpango (67). Bila ya Lissu nchi itazidi kuoza

Dr.Megalodon Mushy,PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada

Uzalendo gani wa kuwachiwa nchi wezi kama ni kweli. Uzalendo ni kusimama na kusema ukweli na sababu za kutoka kwako sio kusisia. Kama ni kweli ni sawa na kisema anasusia na kususia sio uzalendo.

Ukiwaachia wezi huo ni uzalendo wa aina gani??
 
Wanasema kama huwezi kuondoa Ubaya kwa mikono yako, basi Kemia, kama huwezi kukemea basi Chukizwa

Pango amechukizwa hivyo amekaa kando
 
Nilikuwa naenda shambani hukoo Masaki ya Kisarawe,nikaona lami imeishia sehemu flan inaingia kwenye eneo flan kama ofisi japo upeo wa macho haukuona,nilipouliza hapa ni ofisi za nini au chuo?mwenyeji wangu akajibu ni nyumbani kwa mzalendo Mpango...wasalimie Canada mleta uzi nyumbani kumenoga
 
Taarifa RASMi ni kuwa Mpango ameomba kupumzika kwa sababu zisizo za kikazi lakini pia ni kwakuwa Umri wake umeenda (67) anahitaji kupumzika.

Kwa taarifa zisizo RASMI( unpublished data) ni kwamba Dr Mpango amekuwa haridhishwi na namna nchi inavyopelekwa kwa sasa.kuna namna fulani nchi inaendeshwa kifamilia hasa kwenye uwekezaji wa resources .

Kwa mfano, uwekezaji wa DP world Tangu ile Safari ya Dubai, Dr Mpango alikuwa against na process nzima, resources za nchi zinaenda kuamuliwa kwenye expensive hotels na restaurants kwa watu ambao hawakuwa na good reputation. Hata kipindi cha mjadala, Dr Mpango hakuwahi hata siku moja kucomment anything about DP world maana alijua ni . HASARA nyingine kwa taifa. DP world ni another SCAM , wake up !!!!!!

Kama mnavojua, Mpango ni Mtu Mwema na ni Mcha Mungu wa kweli anaumia na mali za Umma zinavyouzwa hivyo kupelekea ukinzani na Boss wake kwenye decision kwa kuwa Boss amezungukwa na walaji na wolfs hatari.

Aidha, Ishu ya Adani group inayopigiwa debe na kafulila kwa sasa, nyuma ya huyo Muhindi kuna Big Dogs tayari wapo set up.. mchakato mzima Mpango anaujua na una interest za nani ... na hili pia anaonesha ukinzani nalo maana investment zinajadiliwa kwenye migahawa kwa kigezo cha expression of interest.

The Royal Tour ni another SCAM na matumizi mabaya ya fedha za Umma unnecessary, return ya Royal tour was worthless against expenditure , matumizi ya namna hii Mpango amekuwa kinyume nayo na mara nyingi amekuwa kama ameisusia kwenye ukimya wake …he is not satisfied hivyo amekataa kuwa sehemu ya udhalimu wa mali za Umma…….. Ikumbukwe Jamaa alikuwa Waziri wa Fedha enzi ya JPM .... anajua vema pato la taifa.

Kuna huyo anaitwa Katibu Binafsi wa Rais , anapiga pesa za nchi vibaya sana ….. Huyu ndio Msiri wa Boss na Mipango mingi… pia, skendo za Abdul na Ufisadi ni sure thing ....MSIKILIZENI LISSU VEMA. Abdul sio mtumishi wa Umma lakini anamaamuzi kwenye nchi...Dr anakaa kando kwa kuchukia kwa kuwa hawezi kufanya lolote.

Ufisadi UMERUDI kama kipindi kileeee, Ukiwa na akili timamu kuna wakati inafika PESA inakuwa sio kila kitu bali uaminifu kwa mungu wako na dhamana aliyokupa....Mpango ni miongoni mwao.

Ni wakati sasa wa Kuanza kumuelewa Job ndungai..... Nchi Inauzwa! Miradi yote mikubwa yenye kichwa cha expression of interest na blah blah za kafulila za PPP..... ogopa sana ... nyuma yake kuna wahuni wanasukuma KETE vizuri sana huku wanakula tende na halua pembeni kuna kahawa nyeusi.

Tumepoteza Jembe ndani ya Serikali anaeweza kuchukizwa na UDHALIM NA UFISADI.......Dr Mpango (67). Bila ya Lissu nchi itazidi kuoza

Dr.Megalodon Mushy,PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Nimelia sana kwa ujumbe huu. Bora wewe uliyejitokeza kuwaambia ukweli watanzania. Na pia waambie wasipofanya maamuzi magumu October hii jamaa wamepanga kwenda kula stake zote na kuwaachia watanzania shingo na miguu ya kuku tu. Yapo majinga kama lile mwashambwa hayajui hata Yanachosifia, Yana maisha magumu lakini kila siku yenyewe ni kuimba mama ametufikia.
 
Back
Top Bottom