Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kuna kitu!,mtandao ule unatengeneza mazingira ya kurudi kuendesha nchi.
Nmejiuliza, kwanini makosa Yale Yale ya kufanana ndio yanajirudia Toka Kwa Ma Rais hawa kupitia Machawa ?
Kosa kama lile la Wajumbe ( Chawa) kumtaka JPM aongoze milele, tena linajirudia kwa Rais Samia japo wanajua ni Kinyume cha Katiba yao
Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa. Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu nilizofanya ni za kutukuka, ningeacha Mchakato ufanyike. Mwenyekiti alitakiwa kua Mfano, alitakiwa kukemea...
Mzee aliondoshwa, si.kwa sababu ya Kupambana na Mafisadi, ni baada ya Mzee kuanza kufurahia Hoja ya kuongoza milele ili hali watu wengi Wana njozi pia zakuongoza.
Kosa lilelile Leo linarudiwa na anajaa kwenye Mfumo na kuwapa sababu ya kavunja Taratibu !!
Niliwah andika hivi
Pre GE2025 - Mwishooni kabisa mwa hizi sarakasi za Siasa CCM ya Mzee Kikwete, Kinana, Makamba, Nape itaibuka kidedea na washindi
Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo. Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana. Makosa yaleyale yanajirudia 2022-2025, safari hii yanajirudia kukiwa na mambo yanayopigiwa kelele...
Anatuhuma za DPW n.k, hizo ni ndogo, hili la ABDUL, uchanganye na hili la Leo.
Atakubali shoo.