Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

miaka 67 ya Mpango linganisha na miaka 80 ya Wassira.

Huyo atakuwa hajaomba kupumzika bali kapumzishwa!
Amekataa kuendelea na hiyo kwa mambo ya hovyo kwa sasa. Amesema yeye ni Muaminifu kwa mola wake. Hata hivyo…. boss wake alishaonesha hamtaki tena….. kwa hekima zake kamrahisishia

Hata Job aliona wazi hawezi kufanya kazi na huyo mtu .
 


Uzalendo gani wa kuwachiwa nchi wezi kama ni kweli. Uzalendo ni kusimama na kusema ukweli na sababu za kutoka kwako sio kusisia. Kama ni kweli ni sawa na kisema anasusia na kususia sio uzalendo.

Ukiwaachia wezi huo ni uzalendo wa aina gani??
 
Uzalendo gani wa kuwachiwa nchi wezi kama ni kweli. Uzalendo ni kusimama na kusema ukweli na sababu za kutoka kwako sio kusisia. Kama ni kweli ni sawa na kisema anasusia na kususia sio uzalendo.

Ukiwaachia wezi huo ni uzalendo wa aina gani??
Wanasema kama huwezi kuondoa Ubaya kwa mikono yako, basi Kemia, kama huwezi kukemea basi Chukizwa

Pango amechukizwa hivyo amekaa kando
 
Nilikuwa naenda shambani hukoo Masaki ya Kisarawe,nikaona lami imeishia sehemu flan inaingia kwenye eneo flan kama ofisi japo upeo wa macho haukuona,nilipouliza hapa ni ofisi za nini au chuo?mwenyeji wangu akajibu ni nyumbani kwa mzalendo Mpango...wasalimie Canada mleta uzi nyumbani kumenoga
 
Nimelia sana kwa ujumbe huu. Bora wewe uliyejitokeza kuwaambia ukweli watanzania. Na pia waambie wasipofanya maamuzi magumu October hii jamaa wamepanga kwenda kula stake zote na kuwaachia watanzania shingo na miguu ya kuku tu. Yapo majinga kama lile mwashambwa hayajui hata Yanachosifia, Yana maisha magumu lakini kila siku yenyewe ni kuimba mama ametufikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…