Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

Kuna kitu!,mtandao ule unatengeneza mazingira ya kurudi kuendesha nchi.

Nmejiuliza, kwanini makosa Yale Yale ya kufanana ndio yanajirudia Toka Kwa Ma Rais hawa kupitia Machawa ?

Mzee aliondoshwa, si.kwa sababu ya Kupambana na Mafisadi, ni baada ya Mzee kuanza kufurahia Hoja ya kuongoza milele ili hali watu wengi Wana njozi pia zakuongoza.

Kosa lilelile Leo linarudiwa na anajaa kwenye Mfumo na kuwapa sababu ya kavunja Taratibu !!

Niliwah andika hivi

Anatuhuma za DPW n.k, hizo ni ndogo, hili la ABDUL, uchanganye na hili la Leo.

Atakubali shoo.
 
Rostam alikuwepo Dodoma kwenye kikao cha chama chetu naye ni mwananchi.
Gharib naye ni mwananchi na kijana wake Hersi.

Kifupi kikao cha chama chetu kina baraka za matajiri/ wafanyabiashara wote wa nchi hii na wengi kama sio wote wallikuwepo Dodoma.
 
Will mpango endorse this speculative post?
 
kosa kubwa la kwanza tz ambalo Lissu anapaswa kuwa ni ajenda yake ya kipaumbele ni kuhamasisha watz kuunga mkono mfumo wa serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenye.

Kwa mfano nchi hii ikigawanywa Ktk mfumo wa utawala wa majimbo 5 nyenye nguvu zaidi ya kujiamulia mambo yake wenyewe hizi kelele za watu wa milimani kutoridhishwa na dp world zisingekuwapo.

Kupitia mfumo huo mtu kama Dr Mpango, zito mamlaka yake yangeishia jimbo la magharibi.

Mambo ya bandari yanawahusu wenyeji wa mwambao pekee.

Kuna ndugu yangu mmoja alikwenda Saudi Arabia. Bahati mbaya akagongwa na raia wa Saudi Arabia. Lkn alipokwenda polisi akaambiwa wewe (rafiki) ndie mwenye kosa. Kwa kuwa umetoka huko kwetu hadi saudi arabia. Kama ungebaki huko kwenu usingegongwa hapa.

Pamoja na maneno haya yanaumiza lkn yana ukweli ndani yake.

Kwamba wewe ukiwa umetoka kwenu huko milimani na baada ya kuja dar ukahisi huridhishwi na namna viongozi wenzio tena wa mwambao wanavyofanya kazi. Kosa ni lenu nyie muliotoka huko milimani. Na dawa ya kuondoa tatizo ni kupigania mfumo wa serikali za majimbo ututawale.
 
Mmmh ! Ni sawa lakin……
 
Kila anachokishauri kinachohusu muungano kimekiwa kinapingwa na wazanzibar..mfano pesa nying zinapelekwa Zanzibar kuliko for formULA ya mgao matoke yake bara maendeleo na miradi inakwama lakini Zanzibar kila kitu kinaemda juu kwa Kasi.Ndo maana akaamua kujiuzuru kwa kusema anataka akae maisha marefu..inamaana aliona alianza kutishiwa kuuawa
 
Yaani huyu hamnazo kabisa alitaka tujaziwe tozo
 
Zanzibar hakuna Mzunguko wowote wa hela. Kwa sasa Project nyingi zitahamishiwa huko na pesa za miradi hiyo inatoka bara
Baada ya Samia, kutakuwa na kazi kubwa ya Reform
Tunaenda mbele then tunarudi nyuma

Katiba Mpya…… TAL
 
Hakuna cha Lissu wala Upinzani wote wakipewa cha kutafuna wanakosa cha kuongea..., what is needed sio mtu wala watu bali UWAZI... Na badala ya kutegemea Upinzani wanaoweza kulambishwa tende wanahabari na whistleblowers wafanye kazi yao


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…