Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

Hakika ni watu wachache sana katika dunia hii ambao hawana uchu wa kukimbila madaraka, dkt Mpango katufundisha kuwa uongozi sio kitu cha kukimbilia, uongozi ni mzigo, ni mateso, ni shida.
Tunawashangaa sana wale wanao utafuta uongozi kwa pesa, uchawi/kuloga, kuuwa n.k.
Dkt Mpango anafaa kuigwa.
 
Hizi ni story tu siamini kwa the so called wazalendo. Hakuna mzalendo.
Andani tulipaswa kumwogopa sana yule jamaa lakini ndiyo hivyo tutakuja kusikia huko mbele yaliyotokea. Ni parasite hasa wanapodeal na nchi zetu za kiafrika.
 
Typical Nonsense 🚮🚮

Uzalendo wake ni upi ambao wengine hawana?
 
Kweli dokta hana uchu,tamaa ya madaraka ...kashaona inatoshaaa!
Karudisha mpira kwa kipa

Ova
 
Anafaa kuigwa kweli pamoja na Kinana,watu wakaza hadi kusinzia kazini kama Mali zao,ona Mbowe kapachikwa jina Mugabe!
 
Kuna ukweli ndani yake! Hakuna cho chote Lissu atafanya kwa sababu hana dola na sana sana akizidisha kelele huenda wanaweza kumdhurumu uhai wake.
Nchi hii imeshikiliwa na kuongozwa na mashetani!

Hahaha, Ndo maana nyimbo za Nay Wa mitego zinafungiwa. Maana zinafichua uovu. Ila kwa kuwa viongozi wanapenda hayo maovu hawataki kukosolewa wakisikia akiwakosoa wanawaambia watu Wa Basata wafungie wimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…