DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hakuna Haja ya Salaam Maana naona kama hili swala halijakaa sawa sana..
Kila nikifungua TV au Redio nasikia nakuona Serikali ikieleza Athari za Mvua ya Elnino na Athari zote zikielekezwa kwa Wananchi..
Na serkali ikifika mpaka kutishia wananchi wanaoishi Bondeni kwamba hakutakuwa na Malipo wala fidia kwahyo inabdi wahame au wachukue Tahadhari..
Hoja yangu ni kuwa..
Wote tunafahamu kuwa Kukitokea kimvua kidogo tu Miundo mbinu ya TANESCO kama Transfomer na nguzo huaribika sana na hivyo kusababisha ukosefu wa umeme wa muda mrefu..
Nafikir badala ya kupiga mkwara kwa Wananchi serikali ilitakiwa kujikita kwenye Kuboresha Miundo mbinu ya TANESCO na MASHIRIKA mengine kam TTCL ili tusije kukosa umeme na Mitandao kipindi cha mvua ...
Kwa wale tuliokuwepo miaka ziliponyesha elinino tulishuhudia Uharibifu mkubwa katika Miundo mbinu ya serkali kama madaraja na mingine
Je serikali imechukua jukumu gani au inasubiri utokee uharibifu waje na bajeti kabambe ya reform na renovation..