Kuhusu fikra ya kuua upinzani, “The Law of Polarity”

Upinzani kufa Tanzania ni kitu ambacho hakitatokea labda wataua vyama lakini sio upinzani.
 
Kumekuwa na mijadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuua au kutoua, kufa au kutokufa kwa upinzani Tanzania. Ukiangalia kwa ukaribu jambo hili; kuna watu wanafikiri upinzani ukifa litakuwa jambo la faida kwa taifa, ila kiuhalisia litakuwa ni jambo la hasara kwa watu wote na pengine la hatari pia.

iko hivi;

Dunia kwa asili yake kila kitu kimeumbwa na kinyume chake.Kushoto na kulia, fikiria kusipokuwa na kushoto utajuaje kulia?Nyuma na mbele, unajua nyuma kwa sababu kuna mbele, sio?Urefu ufupi, fikiria kama hakuna ufupi utajuaje urefu?Juu na chini?

Au fikiria; Giza mwanga, Ili ujue mwanga lazima pia kuwe na giza sio? Fikiria dunia ikawa ni mchana tu au mwanga tu hakuna giza?Baridi na joto, fikiria baridi bila joto? Mvua bila ukame je? Wanawake bila wanaume? Moto bila Maji je? N.k Fikiri siku kuwe na wanaume tu bila wanawake au wanawake bila wanaume, sasa wanaume hao watajuaje kama ni wanaume au wanawake watajuaje kuwa ni wanawake?

Ni kwa msingi huo ambapo “Law of polarity” imejengeka kwamba kila kitu kina kinyume chake na vitu hivyo haviko kwa ajili ya kusuguana na kumalizana bali kujaziliziana "Complements" japo inawezekana ikatokea wakati joto likawa kali hadi linakera ila baridi nayo ikiwa kali sana tunatamani joto na vikikutana katikati hapo inakuwa sawa.

Hakuna namna ambayo watu wawili wanaweza kuwa na mawazo yanayofanana kwa kila kitu ikiwa wote wanafiri. Ukiona wanafanana, ujue mmoja kaamua kutofikiri, au kaaamua kuwa mnafiki jambo ambalo ni hatari. Suala la msingi ni kuweka mfumo ambao kutofautiana huko kwa mawazo hakuwezi kuzua matatizo lakini watu kufikiri tofauti ni jambo la kimaumbile. Moto unaweza kuchoma nyumba lakini pia moto hupika chakula. Kwa hiyo moto tunauhitaji japo inabidi kuweka mazzingira rafiki ambapo hauwezi kulipuka na kuleta madhara.

Niwashawishi wale wenye kufikiria kwamba kufa au kuuawa kwa upinzani ni jambo jema wafikirie tena usahihi wa mtizamo huo kwa mantiki ya hoja hii.

Asante wote kwa kuelewa na kutoa michango safi kujenga uelewa zaidi.

Safi sana, lakini ni wale tu waliopevuka kiakili ndio watapokea jambo hili.

Na hata katika umeme kuna positive charge na negative charge, zikikutana katika discipline fulani tunapata manufaa, lakini charges hizo zikikutana katika undiscipline hapo itatokea short circuit na ni hatari.

Hivyo katika hizo polarities ni kweli lazima kuwepo na governing discipline. ( Mfumo Kutofautiana huko kwa mawazo kusilete matatizo).
 
Umeandika jambo jema lkn,ccm hawawezi kuelewa!
 
Hili ni moja ya kosa linalofanywa na vyama vya upinzani. Yaani kutegemea kupata legitimacy kutokana na udhaifu utakaooneshwa na ccm. Hili lilishazungumziwa huko nyuma na mifano mingi ikatolewa ikiwemo mfano wa kwamba huwezi ukaenda kwenye usaili halafu badala ya kuonesha uimara wako, wewe unaonesha udhaifu wa wenzako; utakuwa kituko. Kwa hiyo hiyo nayo bado ni changamoto hadi sasa na haitaisha kwa siku moja lakini bado niyo haifanyi hoja ya kuwa na mawazo mbadala kupoteza maana.

Kwa hiyo mawazo mazuri yanaweza kuwa juu ya namna ya kuwasaidia wenye mawazo mbadala kuwa na constructive critisims kuliko kufikiri kuwa hawatakiwi kuwepo. Hili wewe unalionaje mkuu?
Very nice!
 
Waondoke vipi? Ni jukumu LA anayepingwa kuonyesha kwa hoja kwamba yuko sawa katika utendaji.
Musa hata mimi sina shida hata na hiyo mifano sina tabu swala ni kuwa hii ni nchi tena yetu wote lakini wengine pamoja na uwezo mdogo na dhamira mayaba lakini watataka kulazimisha, na ndiyo maana mimi natofautiana na wewe hawa wapinzani wanapinga kila kitu. Na ni maombi yangu na dua kwa hawa wapinzani wanaopinga kila kitu hata kama waliwai kufanya sera yao huko nyuma lakini leo anafanya mwingie wanapinga waondke sokoni hili tupate upinzani mzuri tuweze kufanya siasa na si kubaki na cha kimoja kama tunakoelekea.
 
Safi sana, lakini ni wale tu waliopevuka kiakili ndio watapokea jambo hili.

Na hata katika umeme kuna positive charge na negative charge, zikikutana katika discipline fulani tunapata manufaa, lakini charges hizo zikikutana katika undiscipline hapo itatokea short circuit na ni hatari.

Hivyo katika hizo polarities ni kweli lazima kuwepo na governing discipline. ( Mfumo Kutofautiana huko kwa mawazo kusilete matatizo).
Umesaidia kuweka mada vizuri!
 
Back
Top Bottom