Kuhusu fikra ya kuua upinzani, “The Law of Polarity”

Upinzani kufa Tanzania ni kitu ambacho hakitatokea labda wataua vyama lakini sio upinzani.
 


Safi sana, lakini ni wale tu waliopevuka kiakili ndio watapokea jambo hili.

Na hata katika umeme kuna positive charge na negative charge, zikikutana katika discipline fulani tunapata manufaa, lakini charges hizo zikikutana katika undiscipline hapo itatokea short circuit na ni hatari.

Hivyo katika hizo polarities ni kweli lazima kuwepo na governing discipline. ( Mfumo Kutofautiana huko kwa mawazo kusilete matatizo).
 
Umeandika jambo jema lkn,ccm hawawezi kuelewa!
 
Very nice!
 
Waondoke vipi? Ni jukumu LA anayepingwa kuonyesha kwa hoja kwamba yuko sawa katika utendaji.
 
Umesaidia kuweka mada vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…