Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Watu wanauliza chadema wanachama wake hawana nidhamu kwa viongozi wao naibu mwenyekiti Zanzibar ndio kaagizwa kufikisha Salam za rambirambi kutoka kwa mwenyekiti taifa na hajasema zielekezwe kwa nani lakini ajabu anajitokeza mjumbe wa kamati kuu ndio anaanza kulipa uzito huwo kwanini?Inawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Wewe pia ni msaliti inabidi ufutwe uanachama CHADEMA. Wewe na Lema ni mapandikizi ya Mbowe. Mnamhujumu Heche na Lissu.Inawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Maamaeee walahii!WABHILLAH TAWFIQ
Kijana mimi ni muumini wa siasa za hakiWewe mwenyewe ukileta mdomo utafukuzwa chadema wewe endelea kuleta maneno unaweza kuondoka na Lema kama ulinusurika kwa Mbowe
Nimerudisha mishale kwenye ALAInawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Kingine ni hiki, Lema hana uwezo wa kushawishi jambo kubwa ndani ya chama hata kama ni mjumbe wa kamati kuu, kwahiyo wenye mashaka naye ondoeni, hii kwa sababu hakuna lolote litafanyika kwa ushawishi wake.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Hilo kosa ndio la mashambulizi haya mnayoleta?Watu wanauliza chadema wanachama wake hawana nidhamu kwa viongozi wao naibu mwenyekiti Zanzibar ndio kaagizwa kufikisha Salam za rambirambi kutoka kwa mwenyekiti taifa na hajasema zielekezwe kwa nani lakini ajabu anajitokeza mjumbe wa kamati kuu ndio anaanza kulipa uzito huwo kwanini?
Sijawahi kupigwa mkwaraUmeshapigwa mkwara
Wachaga kwa kuteteana mpo vizuri sana.Inawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Kingine ni hiki, Lema hana uwezo wa kushawishi jambo kubwa ndani ya chama hata kama ni mjumbe wa kamati kuu, kwahiyo wenye mashaka naye ondoeni, hii kwa sababu hakuna lolote litafanyika kwa ushawishi wake.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Umetufokea tu lakini hujakanusha tuhuma dhidi yake. Watu wanasoma patterns Mkuu!Inawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Kingine ni hiki, Lema hana uwezo wa kushawishi jambo kubwa ndani ya chama hata kama ni mjumbe wa kamati kuu, kwahiyo wenye mashaka naye ondoeni, hii kwa sababu hakuna lolote litafanyika kwa ushawishi wake.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Hakuna tuhuma zenye mashikoUmetufokea tu lakini hujakanusha tuhuma dhidi yake. Watu wanasoma patterns Mkuu!
Kyela Kajunjumele hakuna MchagaWachaga kwa kuteteana mpo vizuri sana.
Namuamini Mungu tuKwanza unamuamini kwa asilimia ngapi?