Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos.
Kosakosa alizofanya Baleke hazujazuka tu, zimeonekana kwa kuwa alikuwa anajitengenezea positions nzuri za kupokea mipira, na hiyo ni moja ya sifa za mshambuliaji hatari. Mtu mwingine anakaa kimya kuhusu Moses Phiri kwa kuwa hakufanya kosakosa, halafu hajiulizi kwa nini Phiri hakuwa na hizo kosakosa!
Kwangu Baleke ni bora zaidi kuliko Phiri na tabia za washabiki wabongo kumshinikiza kocha ampange Phiri wakati kocha ndiye anayewaona wachezaji mazoezini, ni ushamba na ulimbukeni