Kuhusu golikipa wa Simba (Lakred) na Baleke, sikubaliani na wanaosema eti walicheza vibaya

Kuhusu golikipa wa Simba (Lakred) na Baleke, sikubaliani na wanaosema eti walicheza vibaya

Ally Salim hana cha kujivunia kwakua dunia yote imeona alivyo vunja taratibu mbele ya mwamuzi na Adhabu walizopewa waamuzi ni kutoitwa kuchezesha Afcon.

Kwasasa hakuna mwamuzi anaye chezesha kwa haki atamwamini Ally ikiwa inatokea pigo la penalty dhidi yake.


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwan kabla ya hapo waliwahi kuitwa kuchezesha Afcon????
 
Kinachoniuma ni upande wa konde boy ,jamaa kaflopp sana aisee ,mpira Bado umo ila mwili na Kasi vinamsalit sana.
Jamaa apige sana tiz awe mwepes arud zama zake .
Kocha ampe dakika 30 Kila game hope atarejea kwenye ubora wake ila mbali na hapo Sion jipya toka kwake
 
Back
Top Bottom