Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Mema Aliyotenda Agha Khan kwa Tanzania yanazidi Almasi Kilo Mia Mbili.Ninaona walikwepa sifa hii "his playboy father"! Na almasi alizokomba Tanganyika zenye uzito sawa na uzito wake! Hapa ingebidi uzidai hizo almasi zirudishwe nchini kuliko hilo dai lako lisilo na tija.
Apumzike kwa Amani.