Kuhusu His majesty Agha Khan: Magazeti ya Kenya na TV huwa hazisemi ukweli

Ninaona walikwepa sifa hii "his playboy father"! Na almasi alizokomba Tanganyika zenye uzito sawa na uzito wake! Hapa ingebidi uzidai hizo almasi zirudishwe nchini kuliko hilo dai lako lisilo na tija.
Mema Aliyotenda Agha Khan kwa Tanzania yanazidi Almasi Kilo Mia Mbili.

Apumzike kwa Amani.
 
Hivi kwa neno Nyang'au ,Mwl Nyerere alimaanisha nn?tuanzie hapo
 
Ni nini faida ya kutaja au hasara ya kutotaja Dar na Tanzania katika historìa yake?
Faida ni ujiko wa Tanzania yetu kuhusishwa na mwanamfalme ambaye ni mwana ukoo wa mtume Muhammad.
 
Hao nyemelezi ndivyo walivyo. Kwanza, hawajiamini, pia wana roho mbaya na uroho visivyomithalika. Kama wanaweza kudai Mlima Kilimanjaro uko kwao, watasaza nini manyang'au?
Sasa nyie media zenu zimetangaza nini kuhusu agakhan
Media asubuhi mpk usiku ni miziki,mipira udaku umbeaaa
Ndicho wanachojuwa
Wakenya wako vzr kwenye mambo ya propaganda je sisi media zetu zinaweza hizo kuzijibu

Ova
 
Waafrika wengine wanaweza kulalamika bila hata aibu kuwa CNN haitangazi habari za Africa 😂😂😂.

RIP H.H Aga Khan. Article Don.
Wanalalamika wkt media zao kutwa kutangaza mambo ya uchawa,umbea stpri za Uchu mondi nabtktk zingine

Ova
 
Sema jamaa alikiwa mtu wa mademu sana bata. Hatari sana
 
Sasa nyie media zenu zimetangaza nini kuhusu agakhan
Media asubuhi mpk usiku ni miziki,mipira udaku umbeaaa
Ndicho wanachojuwa
Wakenya wako vzr kwenye mambo ya propaganda je sisi media zetu zinaweza hizo kuzijibu

Ova
Media watangazaji Bora ni kitenge na masanja wakichambua vichwa vya habari vya magazeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…