Kuhusu historia ya mwamba Kunta Kinte

Huyu kwel kinta kinte af photogenic kbsa,Asante Sana kwa historia
 
Asante sana kwa story tamu, kuna watu mpo deep n fast. Kweli jf ni kisima cha maarifa yasiyokauka
 
Huyu kwel kinta kinte af photogenic kbsa,Asante Sana kwa historia
Huyo ni muigizaji wa tamthilia ya Roots sio Kunta mwenyewe, baadaye akiwa utumwani alipewa jina la Tobby na mmiliki wake. Nimebahatika kusoma hiko kitabu kina historia nzuri ingawa some parts ni fiction but kuna facts nyingi tuu. Pia kuna kitabu chengine kinaitwa Queen, David Haley anazungumzia upande wa baba yake pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…