Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
- Thread starter
-
- #21
ππππ»ππ»"Nkulu wa nchito" kwa kikwetu maana yake ni Mkuu wa Kaya. Sasa ndugu yangu hiyo kaya yako utaiharibu kisa huyo beki tatu. π
Utaanza kula beki tatu, atakunogea mwisho anampindua mama mjengo. Unafukuza watoto na mama yao, unamuoa beki tatu!
Linda heshima yako, waachie Gen-Z huyu beki tatu. π
Kweli kabisa zinaa si nzuri ina athari kubwaShindwa!
Jicho linaloshawishi zinaa unatakiwa uling'oe.
Siyo vizuri kabisa ni tabia chafuEndelea hivyo hivyo kufikiri athari za uzinzi. Siku utakapoacha kufikiri, ndipo hizo athari zitakupata.
Safi sana. Sasa lete namba ya beki3 tukusaidie kumuondolea nyegeNimeahirisha huyu shetani atoke
No ningetoa naogopa utamtia mimba lawama za wazazi wake kwanguSafi sana. Sasa lete namba ya beki3 tukusaidie kumuondolea nyege
Akija jukwaani kuomba ushauri afanyeje ili mkewe abakie asiachwe peke yake na watoto baada ya kujulikana.Nayaona majuto baada ya hili
Anakuwa na wewe muda mwingi kivipi au we ni Baba wa nyumbani mkeo ndo anaenda kazini?
Anakuwa na wewe muda mwingi kivipi au we ni Baba wa nyumbani mkeo ndo anaenda kazini?
Tunakaa mikoa tofautiAnakuwa na wewe muda mwingi kivipi au we ni Baba wa nyumbani mkeo ndo anaenda kazini?
Una maneno makali sanaSoon tu bodaboda nae atapita na mkeo maana nae anavumilia sana
Asante kwa ushauriKama ni kuchepuka tafuta mwanamke huko nje, achana na mtu wa karibu anayesaidia kazi na kutunza watoto.
Mbona wanawake wamejaa sana mzee!!
Acha kumpotosha mwenzioHata hivyo unamlipa hela nyingi tu, sio mbaya kula matunda ya jasho lako mkuu
Kila la heri
As salaam Alayqum πNayaona majuto baada ya hili
Ntamwagia usoni mkuu..no mimba hapoNo ningetoa naogopa utamtia mimba lawama za wazazi wake kwangu
Uko sahihi 100%usipomchukulia msichana wa kazi kama mwanao
pia hatachukulia wanao kama wadogo zako
ukishafungua tu hiyo suruali na watoto wako atawachukulia kama wa mke wenzake
DuhChunguza vizuri wife wako tayari analiwa nje.