Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,519
- 5,504
Umesahau kuna wakati samaki alipimwa na rula mkuu?Ndio mpaka Konokono mkuu
Umesahau kuna wakati samaki alipimwa na rula mkuu?Ndio mpaka Konokono mkuu
Yaah ingependeza zaidi ingefanyika hivyo, ila bila shaka alioneshwa kifungu kimkatazacho.Kabla ya kuanza kufikiri kuwa kaonewa, wivu n.k
Tungeiona iyo sheria maana TANAPA ni wasimamizi hawawezi kukurupuka.Bila shaka Jose alionyeshwa hicho kifungu kinacho mbana.
Well said mkuu!Yaah ingependeza zaidi ingefanyika hivyo, ila bila shaka alioneshwa kifungu kimkatazacho.
Jamaa alikua anafaidi sana hao wanyama, kawatafuna kwelikweli.
Na labda kosa lake ni kupost maudhui ambayo yanathibitisha kua anawinda na kuwala, ila wapo watu wengi tu ambao wanakula hao wanyama.