Kuhusu Jose Mlavichwa TANAPA na TAWA wako sahihi au wanamuonea?

Umesahau kuna wakati samaki alipimwa na rula mkuu?
Kwamba Kicheche akila kuku wako wote unatakiwa kumshika kisha kumpeleka TAWA wakulipe fidia!? Sio ndio hivyo Mkuu?
 
Kabla ya kuanza kufikiri kuwa kaonewa, wivu n.k
Tungeiona iyo sheria maana TANAPA ni wasimamizi hawawezi kukurupuka.Bila shaka Jose alionyeshwa hicho kifungu kinacho mbana.
Yaah ingependeza zaidi ingefanyika hivyo, ila bila shaka alioneshwa kifungu kimkatazacho.

Jamaa alikua anafaidi sana hao wanyama, kawatafuna kwelikweli.

Na labda kosa lake ni kupost maudhui ambayo yanathibitisha kua anawinda na kuwala, ila wapo watu wengi tu ambao wanakula hao wanyama.
 
Well said mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…