Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

Ila upinzani wa Tanzania ni kiboko..rais ana miezi minne tu ofisini mtu unaanza kumshinikiza katiba mpya..wangesubiri hata miaka miwili au mitatu
 
Ila upinzani wa Tanzania ni kiboko..rais ana miezi minne tu ofisini mtu unaanza kumshinikiza katiba mpya..wangesubiri hata miaka miwili au mitatu
Hivi katiba mpya inakua na nini kitakachobadili haya tunayoyaona hayafai?
Hivi ile iliopendekezwa na lile lililoitwa bunge la katiba,mchakato wake ungekamilika ingekua ndo mpya?
Nawaza tu kwa uhuru....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…