The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Wakati wa uhai wake mwalimu Nyerere aliwahi kusema katiba tuliyonayo inawezesha kupata rais dikteta, alimaanisha kwamba kwenye katiba kuna matobo yanayoruhusu Rais kujiamulia mambo kwa kadri aonavyo.
Cha ajabu ni kwamba watawala waliopo hawayaoni kabisa hayo matobo badala yake wanatujazia machawa wa kuipigia debe
Mbaya zaidi ni kwamba imo kwenye ilani
Sasa kwa nini hicho kipengele kimo kwenye ilani?