Vita vitawaharibia utalii wao huo wa Arusha,sijui Serengeti na Kilimanjaro.
Vita vitapiganwa Hadi fukwe zao hapo Daresalaam.
Sema tu Somalia hana uwezo kwa hivyo hamna vita eneo tayari lipo chini ya Kenya.
Tutashuhudia vituko vidogo pamoja na makelele ya hapa na pale.
Kesha dhibitiwa tangu mwaka wa.2012, ndio ilikua nia haswa ya KDF kuingia kulee Somalia,kuimega na kuanzisha nchi iitwayo Jubba land mle ndani.