Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

Kuna wale walistaafu miaka ya 2000, kuna mzee nilikutana nae analalamika monthly payment ni kiduchu mno
 
Kwa kifupi Kila kundi lidai haki yake Kwa umoja sio kumsubiria mwanasiasa wa upinzani kuwatetea. Wakati kikokotoo kinajadiliwa bungeni badala wanufaida wagome walisubiria wanasiasa wawatetee. Anayestaafu miaka kumi ijayo na kumuona mstaafu akitaabika sasa hv anajiona kustaafu kwake kuko mbali na Yuko salama bila kujua na yeye litamkuta tu ni jambo la muda.
 
Hakuna watu wanadharaulika nchi hii kama hawa watumishi wa Umma, The likes of Waalimu nk .Huwezi kusikia Mbunge akilalamika kucheleweshewa mafao! Sijajua Kama nao wanalipwa kwa kikokotoo!!

Mwalimu anafundisha 30+ years, kwa uaminifu mkubwa akikatwa michango mbalimbali (Ikiwemo kukimbiza mwenge), halafu ukifika wakati wa kustaafu blaa blaa zinaanza!!

Wabunge nchi hii hawafiki hata elfu moja, Mshahara karibia mara 30 ya ule wa Mwalimu. Hivyo vyama vyenu Vina kazi gani??

Mishahara ya Tz haiendani na hali ya kiuchumi!
 
Upo sahihi.

Watanzania: 60M
Watanzania miaka 18+: 35M
Watumishi wa umma + wastaafu: < 2M

Hivyo watumishi wa umma peke yao hawana impact kwenye sanduku la kura.

However, Never underestimate their power. Mtumishi mmoja minimum ana watu 10 wanaomtegemea (familia,ndugu, jamaa, marafiki).
Kura sio njia Pekee ya kupitisha uamuzi, Imagine walimu wote wa Mikoa yote wakikutana na kufanya protest! Maana uchaguzi ni kila baada ya miaka mitano
 
Acha waendelee kuilamba miguu CCM , wakipata matatizo ndipo wanakumbuka Kuna upinzani.
 
Huyo polisi huenda ni yule wa anaetoka chumbani Kwa mama Yako na taulo ndio baba Yako!!

Binafsi licha ya kuwa nitalipwa hiyohiyo ila siwezi kumuonea huruma polisi labda nife nizaliwe upya!
Polisi wajue wao ni binadamu pia na kwmb mambo wanayoyafanya kw kisingzio ch klinda usalama na baadhi kuonea wa2, bla huruma, yanaudhi waTz wengi - wajue nao pia, ukiacha mabosi wao ni wahanga wa huo mfumo mbovu ambao ndo unaolalamikiwa, kwmb watakapostaafu, ukiacha mabosi, watakuwa wahanga pia. Wakmbke unapokuwa juu, kumbka walio chn kwani utapokua unashuka utawakuta. Pamja na hayo, bunge la Tz limejidhihirisha ni la hovyo ktk ku-deal na mambo y aina hii. Mtu asihangaike nao, hasa hawa kina Wait-R waliofuata posho bungeni, haitasaidia
 
Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake...

Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta kwenye jukwaa hili ili tujadili...
View attachment 2816618
✍️Ujumbe huu uko very clear kuwa unahusu kikokotoo cha 33.33% cha mafao ya watumishi umma wastaafu..

✍️Ni wazi pia kuwa kikokotoo hiki, hakiwahusu watumishi wa kada za kisiasa kama;
√ Rais wa nchi.
√ Makamu wa Rais.
√ Waziri Mkuu.
√ Spika wa bunge.
√ Jaji Mkuu
√ Mawaziri.
√ Makatibu wakuu wa wizara..
√ Wabunge nk nk.

✍️Lakini ni ajabu kuwa hili kundi la watu (wanasiasa) hao hapo ☝️☝️juu ndio wanajipangia wajilipe mafao kiasi gani na kwa kanuni ipi. Na pia ndio wanaowapangia wengine kama walimu, makaktari, manesi, makarani nk nk walipwe vipi na kwa kanuni ipi.

Mpaka hapo, unaweza kuona kuwa, kwa utaratibu na mfumo huu, basi kamwe hakuwezi kuwa na fairness yoyote ktk kugawana keki hii ya taifa!!

✍️Hebu sasa tumjadili huyo polisi hapo juu. Kafanya kazi kuitumikia nchi hii kwa miaka 32. Hivi kweli ni sahihi kumpa mafao ya kustaafu ya Tshs. 18,000,000 tu? Hivi huyu hata mshahara wake unaweza kuwa ulikuwa shilingi ngapi eti?

✍️Hebu endelea kufikiri zaidi. Kuwa, usawa uko wapi iwapo mtu mmoja mwanasiasa mwenye cheo cha ubunge tu. Tena aliyepata ubunge huo kwa rushwa au kuiba kura.

Huyu anakaa bungeni miaka mitano halafu siku hiyo hiyo bunge linapovunjwa bila jacho wala kuhangaishwa kuambiwa leta nyaraka hii au ile ili ulipwe mafao lakini jioni anakuta kwenye Bank A/C yake TZS 350,000,000 kama mafao yake ya ubunge kwa miaka 5 tu???

Hivi hii inaingia akilini kweli hii?

✍️Hebu Rais Samia Suluhu Hassan na serikali kwa ujumla na hususani CCM yako oneni hata aibu kidogo basi. Wote tuna akili na tunaona. Hii haiko sawa!!

Hii siyo sera nzuri hata kidogo. Ni sera iliyoleta utaratibu wa kikandamizaji na kinyonyaji usiokubalika hata kidogo ktk jamii iliyostaarabika...

Hebu rudisheni kikokotoo cha zamani japo hata hicho nacho kilikuwa hakifai vilevile..
MKUU CCM NI MAJAMBAZI YASIO NA SILAHA NI MAJITU KATILI SANA
 
Baada ya miaka 30 unapata mil 18, ila mbunge miaka yake 5 tu anakula m100+ 😢
 
Polisi aliyelalamika kwamba amefanya kazi jeshi la polisi kwa miaka 32 lakini ameambulia kiinua mgongo cha 18m. Kimsingi huyo polisi amefanya kazi ya ajira polisi kwa miaka 20 tu sio 32 kwa sababu polisi hufanya kazi ya mktaba wa miaka mitatu mitatu kama hajafanya kosa la kimaadili au kujiendelza akavuka daraja la vyeo vya chini vinavyovaliwa mkononi ndani ya miaka 3*4 awamu nne basi hukosa sifa ya kuendelea kusajiliwa kuendelea. Kwa hiyo kiufupi miaka 12 ya kwanza ni kama kibarua tu ndio maana unapowaona huko mitaani au barabarani wakichachalika wanatengeza kesho yao wasiyoijua (They do not have guaranteed job security)..
Kimsingi unaona ni sawa mtu afanye kazi miaka 20,aje alipwe milioni 18?
Aisee,kua na huruma.
 
Kama Ni polisi alipwe hata milioni tano tu zinamtosha.

Hawa wajinga ndiyo wanaiweka CCM madarakani halafu linakuja kubwabwaja humu.

Kumbafu!
Tanzania tuna wajinga na wapumbavu wengi sana .
Ndio Maana CCM inatwala na Makonda anangara sana kuliko Mwanasheria Nguli Lisu . Yote ni Kwa Sababu ya Wanasiasa wapumbavu WASIOJUA nchi na Wananchi wake wanatawaliwa vipi na Nguvu ya Chama tawala Chini ya Katiba ya Mwaka 1977.
.
Hivi Polisi anaweza kubadilisha matokeo yaliyosomwa na Tume ya Uchaguzi ?
Hivi Mkurugenzi ámbaye ni Kada Wa CCM anapomtangaza Mgombea Wa CCM kuwa ameshinda Polisi anaweza akapinga na kumtangazia mpinzani.
Tuna Wanasiasa wapumbavu na wajinga sana ndio Maana CCM inafanya inavyotaka Kwa kuwanunua Wachache Kwa faida ya madaraka Ili wawaaminishe Wananchi kuwa aliyesabahisha mpinzani akashindwa ni Polisi.

Hivi kuna nchi Gani ambayo wanaodai Haki dhidi ya dhulma ya serikali wanaungwa mkono na Polisi. ?
Hata Marekani Kuna vikosi Vya kuzuia ghasia dhidi ya hasira za waandamanaji.
Kenya pamoja na Katiba Mpya lakini Polisi wanatawanya maandamano na kuzuia fujo . Halikadhalika Afrika Kusini n.k.

Jambo linalofanyaka ni Wapinzani kuwafundisha Kwa Udi na uvumba wawajue maadui wao wanaoimba rasilimali zao na kusababisha Umaskini Kwa walio wengi. Kwa nini Kwa Mfano Wapinzani wasiitishe maandamano makubwa Kupinga Kikokotoo na Kupinga wabunge na kupitisha muswada ya kujilimbikizia posho na mishahara kwenye nchi maskini Kama Tanzania?
Kwa nini Wanasiasa Wa CCM na Upinzani wanakwepa kuungana na Wananchi Kupinga Sheria kandamizi zinazowakandamiza wafanyakazi Wa Chini?
Kwa nini hatujawahi kusikia maandamano Kabla ya uchaguzi Kupinga Wakurugenzi na wakuu Wa wilaya makada Wa CCM watoke kwenye ofisi za umma.?
Wanasiasa wanataka tu Wananchi waandamane wao wanaponynganywa ubunge na udiwani ila Wananchi wakulima na wafanyakazi na wafanyabiashara wanapoumizwa na Sheria kandamizi Wanasiasa wanakaa mbali .

Bandari zimeuzwa, Loliondo kuna hujuma Iko pale miaka mingi sijawahi kusikia maandamano ya Kupinga dhulma na kuuzwa Kwa rasimali za umma kiholela na Kwa masharti yanayolipa taifa hasara.
Sasa mnataka Polisi Wawaambie andamaneni ?
Hakuna serikali Duniani inayopenda maandamano.
Na hakuna Katiba ya kiimla inayoondolewa kirahisi eti Kwa kukaa na kuomba kibali Cha maandamano na kutegemea Polisi iwaunge mkono.
Haki haiombwe Bali inadaiwa kama deni.

Polisi SIO ya CCM pekee lakini viongozi wake wanateuliwa na Mwenyekiti Wa CCM.
Majaji ambao ndio Wenye dhamana kubwa ya Haki nchini lakini pia wanateuliwa na Mwenyekiti Wa CCM na kisha kupewa maslahi makubwa yanayowafanya waanze kuionja Pepo wakiwa Duniani halafu utegemee kuwa watasimama na Wapinzani legelege wasiotabirika Wala kuaminika.
Wapinzani waliojawa na chuki na wivu Kwa Kila mtu. Mwabukusi amejitolea kuitisha maandamano lakini viongozi Wa chama kikubwa kama Chadema wakawakataza wanachama wao wasiandamane kumuunga mkono. Wivu tu wakuona kuwa Mwabukusi atapata umaarufu kuliko wao. Ujinga mtupu.
Huyo Polisi mmoja ameamua kuonyesha hisia zake na kukerwa na dhulma ya serikali ya chama tawala Badala ya kutumia Nafasi hiyo kumuunga mkono Ili wafanyakazi wengine wainuke Kupinga cha ajabu watu wale wale wanaojifanya kuwa wakiingia madarakani watajali maslahi ya watumishi Wa umma wanamkejeli ,CCM inazidi kujaa kiburu mana haioni chama ambacho kimesimama na Wananchi.
Ukweli ni ukweli tu Hata ukisemwa na Shetani Bado unakua ukweli.
Ni kweli Kabisa kuwa MTU aliyefanya KAZI miaka 32 hastahili kulipwa kiinuamgongo cha mil. 18.
Hata kama wanakula rushwa lakini SIO Sawa Kwa Sababu Kuna mawaziri na wakubwa wengi wanaiba mabilioni ya pesa ambazo ni Kodi za watu lakini Bado wanapewa kinwamgongo kikubwa. Hivyo Haki ya MTU isiingiliane na mitizamo ya watu.
 
Kimsingi unaona ni sawa mtu afanye kazi miaka 20,aje alipwe milioni 18?
Aisee,kua na huruma.
Kiinua mgongo kinaendana na mshahara aliostaafu nao mtumishi

Jibu nilishakupa kwamba polisi hana ajira mpaka afaulu kulitumikia jeshi hilo kwa muda wa miaka 12 mfululizo na awe amejiendeleza kielimu na kupanda vyeo ukifikisha miaka 45 kabla hujafanya hayo moja kwa moja unaenda nje ya ulingo.
 
Kuna siku sio nyingi CCM na serikali yake watashitukizwa kwa matukio mabaya kama Israel ilivyoshitukizwa na utawala wa Hamas Ukanda wa Gaza.

Trend ya mienendo ya viongozi ndio itakayoleta vurumai hizo ijapokuwa haamini kama hiki nikisemacho kitatokea lakini kwa kuzama ndani kwa kutumia 'Emotional Intelligence' wananchi na baadhi ya watumishi wahanga wa udhalimu ' they no longer care about losing physical life other than upholding spiritual standing in a just and balanced moral standards.
Naisubili kwa hamu Sana hiyo siku!
Nimeona video ya samia akiingia ikulu chwmwino, kuonana na Mpango,Mama amenenepa balaa, anatembea kama Dubu! Bear! Yaani, ukiangalia body language ya Rais, ni kama mama mjane,aliyepoteza touch na familia na malezi, ya wanae,amewaacha wajifsnyie watakavyo, watakao dokoa nyama sawa! Watakao leta msbwana usiku, poa! Hata binti zake wakipata mimba,mama haulizi, yupo overwhelmed na Mambo ya familia(nchi).
Samia, nchi kwake ameacha iende tu, badala ya kutatua matatizo, akiona tatizo, "she just wishes it away!
So pathetic!
 
Sijaona tatizo kwa wenye miaka mingi makazini,hawa Wana muda mwingi wa kujipanga na kujiandaa vizuri!!

Tatizo kubla,labda kwa hawa waliobakiza michache makazini!!
 
Back
Top Bottom