Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Unafananisha mpira wa Ulaya na Tanzania waendelee kuwa na nidhamu mbovu wataona watafika wapi?
Yupo wapi Juma Nyosso? Nidhamu ni kila kitu kiukweli kanishangaza sana na ninashangaa nikiona mtu anasupport kitu alichokifanya kisa tu anachezea team anayoshabikia.
Hivi utafananisha mpira wa ulaya na tanzania? Mfano ronaldo akikosea unataka na mchezaji wa tanzania akosee?Amini hujui usemacho
Haya taja mwenye nidhamu utuambie tumfananishe na mpira wa asia au America
we unataka wazeekee wapi mbna Dinho alikuwa fear na anazeekea Mexico[emoji1] [emoji1]Hivi utafananisha mpira wa ulaya na tanzania? Mfano ronaldo akikosea unataka na mchezaji wa tanzania akosee?
Endeleeni kuwatia ubovu wachezaji wenu watazeekea Simba na Yanga.
Usiku mwema.
Mbona hakuzuia goli?Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Huu unazi sasa unazidi hivi Yondani ni Beki au Mkanyagaji, anamfikia Ally Ally wa Stand United.Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Unachrkesha sanaHuu unazi sasa unazidi hivi Yondani ni Beki au Mkanyagaji, anamfikia Ally Ally wa Stand United.
Moja ya mchezo wenye changamoto nyingi sana hasa katika mchezo wa Soka ni mchezo wa "WATANI WA JADI" yaani Simba Vs Yanga.
Ni mchezo ambao unabeba hisia nyingi sana kwa wanamichezo kuanzia washabiki,wachezaji,makocha na wadau wote wa timu husika na timu mbalimbali shiriki.
Katika mchezo kuna matukio mengi sana ambayo machache yanaweza yakaonwa na mwamuzi na kuchukuliwa hatua na mengine mengi sana mwamuzi anaweza asiyaone na yakaonwa na watazamaji wengine hasa wa kwenye TV,hii ni kutokana na picha za marudio (Reply) zinazooneshwa.
Katika mchezo wa leo wa tarehe 29/04/2018 (Jumapili) ambapo timu ya Simba SC imeibuka na ushindi kuna matendo mengi sana yaliyotokea.
Moja ya kile kilichotokea ambacho kimenishawishi niandike haya ni mchezo/kitendo ambacho sio cha kiungwana kabisa (sio cha kimichezo) kilichofanywa na beki wa Yanga Kelvin Yondani kwa kumtemea mate mchezaji wa timu ya Simba.
Kiukweli ni moja ya kitu ambacho sio cha kiungwana kabisa kufanywa na mchezaji huyu hasa ukizingatia sifa ambayo Yondani amejijengea katika soka la Tanzania na hata nje ya nchi.
Ni kitendo ambacho labda mwamuzi hakukiona kabisa labda maana attention ya mpira ilikuwa ipo sehemu tofauti na kitendo hicho kilipotokea.
Ni wakati sasa wachezaji wazingatie michezo iliyo sahihi ili kufanya soka uwe mchezo wa kuburudisha kwa watazamaji wake.
Sheria ichukue mkondo wake dhidi ya vitendo kama hivi ambavyo si vya kiungwana vinavyotokea michezoni,TFF,inapaswa ichukue hatua kali sana ili iwe funzo kwa Yondani na wengine wote wenye tabia za aina hii.
Mwana_michezo
MMMEANZA KUTANGAZAA USAJILIIWENUUU LOHHuu unazi sasa unazidi hivi Yondani ni Beki au Mkanyagaji, anamfikia Ally Ally wa Stand United.
Unachotetea ni nini sasa? Au ndo mlimwanbie afanye hivyo?hayo ndiyo mapungufu, kwani wewe hujawahi kufanya ukorofi uwanjani??? Yaani mimi nilikuwa nawapiga hadi ngumi mtu akija kunikaba
Yaani we unataka Yondani apewe adhabu mi sitaki sasaUnachotetea ni nini sasa? Au ndo mlimwanbie afanye hivyo?
Sasa kama mmewatuma shauri yenu ndo mana wachezaji wenu wako kwenye hati hati ya kupewa adhabu kutkna na vitendo mnavyowafundisha visivyo na nidhamu! Chirwa na huyo Yondani
Anachekesha saaaana Ally Ally?Unachrkesha sana