Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinga la karne weweMleta mada ni mpumbavu na mpuuzi. Unajua sababu za Yondani kufanya vile au unakurupuka tu uonekane na wewe mchambuzi?
Hii inanikumbusha Zidane alimpiga kichwa jamaa lkn alipotoa utetezi wake ulikuwa na mashiko,usikurupuke kutoa hukum utakuwa mpumbavu
Vipi imekuingia kwa nyuma?. Ikatikie tu usilalamike nyoko weweJinga la karne wewe
we jamaa unanichekesha balaa, hutaki tufananishe mpira wa ulaya na Tz hapo hapo unataka afike mbali (ulaya ) nidhamu ingekua kila kitu balotel, suarezi, ramosi, wasingekuwa mbaliUnafananisha mpira wa Ulaya na Tanzania waendelee kuwa na nidhamu mbovu wataona watafika wapi?
Yupo wapi Juma Nyosso? Nidhamu ni kila kitu kiukweli kanishangaza sana na ninashangaa nikiona mtu anasupport kitu alichokifanya kisa tu anachezea team anayoshabikia.
Kwanza mimi sio jamaa, ni mama.we jamaa unanichekesha balaa, hutaki tufananishe mpira wa ulaya na Tz hapo hapo unataka afike mbali (ulaya ) nidhamu ingekua kila kitu balotel, suarezi, ramosi, wasingekuwa mbali
Yondani afungiwe games tanokhata ulaya matendo hayo hutokeo suarezi, costa, balotel wamekuwa na utovu wa nidhamu
Yondani yuko vizuri, alichezewa vibaya mara 2-3 ila akadhibiti hasira zake naona mwisho alishindwa akamtemea mate.
.mie nilijua atamkata na vibao kabisa
Kausheni basi mbona mnalalama kifala!. Au ndo mgumba akipata mimba anataka mji mzima ujue kuwa kadaka mimba? Yaan simba hizi kelele kwa kupata ubingwa baada ya miaka 5?. Aiseeee tuna shida mtaani leo sie mabingwa Mara 3 mfululizoMakohozi FC....... wakati wao wanatutemea mate sisi tunawatemea magoli!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeambiwa nia yake alitaka kutemea mate dushe la Kwasi ili liteleze vizuri kunako,
Unasema Yondani ana nidhamu ya khali ya juu! Dahmi hilo tukio nilienda Mechi ikiwa iko mbali sana, Yondani hakoseagi ndio maana katoka hana kadi hata moja. Hii inadhihirisha Ana nidhamu ya hali ya juu sana.
Yanga wakimuuza au kumtema wasitegemee kupata mwingine maana Hamna beki tena wa kiwango kile
We nae mpira ulicheza wapi? Hukuona huyo kwasi alichomfanyia Yondani mpaka kureact vile? Acheni viherehere kudandia mambo msiyo yajua...wengine nyie ni wajuzi wa kulala chali and nothing else.Msiwaharibu wachezaji wenu nidhamu ni kitu muhimu sana, mechi ilikua inaruka live hivi hata kama kuna team ilikua inamfuatilia unadhani itaendelea naye?
Wajifunze kwa Samatta na Ulimwengu huwezi kuona wanafanya vitu vya kijinga kama hivyo.