Kuhusu kitendo alichokifanya Kelvin Yondani dhidi ya Asante Kwasi

Kuhusu kitendo alichokifanya Kelvin Yondani dhidi ya Asante Kwasi

Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Umemuelewa Vizuri mleta mada alichoandika?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Mikia bhana. Hapa kila mtu angetaja upande alipo kabla ya kuchangia mada.

Niulize tu swali, kipindi kile yule beki katili wa JKT Ruvu alivyomfanyia uhuni Tambwe mlikemea huo upuuzi? (kama kweli ninyi ni wanamichezo wema?)

Je kushangilia Malinzi kuswekwa Jela eti kisa kipindi cha utawala wake Yanga imechukua sana makombe, huo ni uanamichezo?

Mimi nipo Yanga.
 
Raha ya timu makombe.
Unakuwa na makombe halafu unaishia kuwa wa kitaifa,wenzako wanachukuliwa ulaya kukuza soka lao unaponda kisa makombe,basi wewe endelea kulia na makombe wakati wenzio Ulaya wanapiga pesa ndefu.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
huyu naye mnamconsider kama professional player? yani mvuta bangi na mtemea watu mate ovyo mnamuita mchezaji wa mpira wa miguu?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
hahaha are you serious? yani unataka kulinganisha kumtemea mate mtu na kujiangusha?? yan unamlinganisha World class player kama ronaldo na vitu gani hivi vinavyotema mate kwa wachezaji wenzie
 
Hata najuta kuwafananisha maana Ronaldo anapigwa miti[emoji12]
 
khata ulaya matendo hayo hutokeo suarezi, costa, balotel wamekuwa na utovu wa nidhamu

Yondani yuko vizuri, alichezewa vibaya mara 2-3 ila akadhibiti hasira zake naona mwisho alishindwa akamtemea mate.
.mie nilijua atamkata na vibao kabisa
ana mpira gani ?! nidhamu ya mtu inaendana na nidhamu ya mpira ..kama huwezi kumheshimu mchezaji wako wa timu unayocheza nayo huna faida kwenye soka unalocheza
sanasana utajidharaulisha tu, ni tukio baya sana na la kidharau sana, yani kwamba alimuona Asante Kwasi kama ni uchafu vile au mavi..
badala tuone wachezaji wanaojiheshimu na kucheza mpira classic, wanaleta wavuta bangi uwanjani na matokeo ndio hayo..kwaio maamuzi ya kuchezewa rafu hizo 3 sjui ndo kumtemea mate mtu na by the way walikua wamesimama tu wote wawili
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Wanasimba tumsamehe yondani jamani, mi sikujua kuwa yuko ktk hali hii. Nimemsamehe. Nafikiri hata Kwasi aliyekuwa karibu alimuona akaona hamna haja ya kupigiana nae kelele.
20180430_145613.png
 
Ni mpuuzi mno ameiharibu cv yake ya kimichezo
Angeitengeneza jana mngemuongezea nini??

Mnaongea leo wakati miaka yote iko vizuri mliwahi kuleta thread ya kumsifia???

HONGERA YONDANI HATA WEWE UNA NYAMA NA DAMU,[emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Hata najuta kuwafananisha maana Ronaldo anapigwa miti[emoji12]
ushahidi mnao au mnalala naye hadi mjue..by the way mnaondoka kwenye mada mnaenda kwa ronaldo...ukweli utabaki pale pale alichofanya kwanza ni upuuzi mkubwa sana na ameonesha dharau ya ain yake kana kwamba amewatemea na TFF mana aalidhani kamera zimelala..nidhamu ya mpira inaongozwa na nidhamu ya mtu binafsi ...kama huwez kujiheshimu na kuwaheshimu binadamu wenzio hata mpira unaocheza hauna faida ..sasa heshima yako unayodai umejijengea eti unaitwa beki bora kumbe ni kondoo aliyevaa ngozi ya chui...na huyu nawahakikishia anafungiwa, ameiaibisha tasnia ya soka nchini, ameiabisha familia yake na amejiaibisha yeye mwenyewe ...ovyo kabisa
 
Yondani ana mafanikio sana kwenye soka huwezi kumfananisha na katibu wa ubalozi ulimwengu
 
Hata najuta kuwafananisha maana Ronaldo anapigwa miti[emoji12]
kwa taarifa yako tu Ronaldo kwa mshahara anaolipwa wa Bilioni nne za kitanzania kwa mwezi mmoja tu kama angekua na dharau sana hadi kufikia hatua ya kutemea watu mate basi ni haki yake kabisa ila jiulize kwanini hajawahi kufanya huo upumbavu?
yondani kwa mshahara gani wa madafu na utajiri gani alionao wa kudharau hadi kufikia hatua ya kuona wengine ni mavi yeye ni staa wa afrika nzima na dunia sjui kwamba anaweza kumtemea mate mchezaji mwenzie
 
Ukiangalia vizuri ile clip utaona dhahiri kabisa kwasi ndiyo aliyeanzisha tafran, kwa kuanza kumbughidhi kipa wa yanga pasipo sababu na ndiyo maana hata alipokimbilia kwa refa alipuuzwa!
 
Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Hapa hatuzungumzii ubora wake tunazungumzia tukio la kumtemea mate Kwasi.

So unataka kusema huo ubora wake ndo unampa haki ya kufanya tukio lolote la hovyo kwa wachezaji wenzake uwanjani?
 
Back
Top Bottom