Kwani mimi ni mchezaji wa mpira, na sio kila mchezaji ana tabia kama ya Yondani, ama yako, ya kibangi bangi.hayo ndiyo mapungufu, kwani wewe hujawahi kufanya ukorofi uwanjani??? Yaani mimi nilikuwa nawapiga hadi ngumi mtu akija kunikaba
Unaweza ukawa n kiwango kizur lkn kama huna nidhamu ni kazi bure ndo maana kila siku tunalilia tuwe n misingi mizuri ya kuwapata wachezaji like academy ambapo mchezaji anafundishwa misingi y mpira.Mchezaji katokea uswazi hajui hata element z profesional player anatakiw awaje hy ndo matokeo yke bt sikushangai unavyomtetea cz umejaza ushabiki 2 ujui lolote kuhusu ethic z footballkumbe shida yako upewe mifano ya walio zaliwa afrika na kuwa na tabia za utukutu na wakafika ulaya aya diofu na middle
kiwango ndo kitu cha muhimu, kumtemea mate mtu haiondoi nidhamu ya yondani aliyo kuwa nayo toka mwanzo.
izo ethics ziko bongo ndo maana maendeleo yetu ya soko yako juu kuliko wanapo toka watukutu na wasio na nidhamu kama joe bartoni, suarezi, diofu, balotel, del piero.Unaweza ukawa n kiwango kizur lkn kama huna nidhamu ni kazi bure ndo maana kila siku tunalilia tuwe n misingi mizuri ya kuwapata wachezaji like academy ambapo mchezaji anafundishwa misingi y mpira.Mchezaji katokea uswazi hajui hata element z profesional player anatakiw awaje hy ndo matokeo yke bt sikushangai unavyomtetea cz umejaza ushabiki 2 ujui lolote kuhusu ethic z football
Kumbe ujui hata historia z wachezaji uliza hy neymay ameenda Santos ana umri gan ww au dinho alikuw anapelekw wap n baba yke kil ck kabl ajafa. Talent inaonekana uswaz bt malez y mpira n kwny academy ww.narudia tena mpir bila nidhamu n kazi bure jiulize hyo baloteli wko kafika wp n nidhamu yk mbovu ingawa ana talent kubw even Joe ?izo ethics ziko bongo ndo maana maendeleo yetu ya soko yako juu kuliko wanapo toka watukutu na wasio na nidhamu kama joe bartoni, suarezi, diofu, balotel, del piero.
unashangaa wachezaji kutokea uswazi neymar, dinyo na wengi wao wametokea uswazi hao profesional player wako wa kutengenezwa wana mpira gani wa maana.
Unalazimisha hoja kutetea upuuzi aliofanya Yondani.Mpira ni starehe ndo maana hata uwanja wa taifa ulijaa,wanaoshinda wanaburudika na walioshindwa wanahuzunikampira ni starehe ulaya mkuu sisi tunapoteza muda lini mpira umeanza kuwa starehe kwetu wakati umejaa ushirikina na upuuzi na mfanano wake.
kama mtuhumiwa kaamua kumuachia Mungu basi nasi tumuachie pia
Mkuu wengine starehe yetu ni mpira wa kibabe na matukio kama ya yondani hivyo tuko pamoja nyie mlijaa kuona burudani na wengine tulifurahi matukio ya kibabeUnalazimisha hoja kutetea upuuzi aliofanya Yondani.Mpira ni starehe ndo maana hata uwanja wa taifa ulijaa,wanaoshinda wanaburudika na walioshindwa wanahuzunika
mkuu mbona unajifunga sasa Tz academy za soka zimeanza lini hadi kutaka Yondani awe na malezi na nidhamu ya soka ili hali ukijua ajapita academy.Kumbe ujui hata historia z wachezaji uliza hy neymay ameenda Santos ana umri gan ww au dinho alikuw anapelekw wap n baba yke kil ck kabl ajafa. Talent inaonekana uswaz bt malez y mpira n kwny academy ww.narudia tena mpir bila nidhamu n kazi bure jiulize hyo baloteli wko kafika wp n nidhamu yk mbovu ingawa ana talent kubw even Joe ?
Kufungiwa mechi zote zilizibaki na kulipa faini.
HujielewiMkuu wengine starehe yetu ni mpira wa kibabe na matukio kama ya yondani hivyo tuko pamoja nyie mlijaa kuona burudani na wengine tulifurahi matukio ya kibabe
Unalazimisha tufanane mkuu, wewe penda soka mi napenda utukutu wa wachezaji. imekuwa sebene ile ukate viuno bila kuguswaHujielewi
kwa hiyo kama anajua mpira ndo atemee wenzake mate sio???Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Vipi imekuingia kwa nyuma?. Ikatikie tu usilalamike nyoko wewe
wote hawana makombe , labda kama ya chaiAna makombe mangapi na Yondani ana mangapi?
yapi ?Yondani ana mafanikio sana kwenye soka huwezi kumfananisha na katibu wa ubalozi ulimwengu
Kutwaa Ubingwa mara tatu mfululizoyapi ?
ubingwa wa uefa au caf ? Au ubingwa wa malinzi ?Kutwaa Ubingwa mara tatu mfululizo
Wowote ule unaoutaka.ubingwa wa uefa au caf ? Au ubingwa wa malinzi ?
Nimependa makohozimimbamimate fc linawakaa vilivyoMABANGI FC
MATE FC
MAKOHOZI FC
TEMATEMA FC
MIMBA FC
CHA NGURUWE FC