Kuhusu kitendo alichokifanya Kelvin Yondani dhidi ya Asante Kwasi

hayo ndiyo mapungufu, kwani wewe hujawahi kufanya ukorofi uwanjani??? Yaani mimi nilikuwa nawapiga hadi ngumi mtu akija kunikaba
Kwani mimi ni mchezaji wa mpira, na sio kila mchezaji ana tabia kama ya Yondani, ama yako, ya kibangi bangi.
 
kumbe shida yako upewe mifano ya walio zaliwa afrika na kuwa na tabia za utukutu na wakafika ulaya aya diofu na middle

kiwango ndo kitu cha muhimu, kumtemea mate mtu haiondoi nidhamu ya yondani aliyo kuwa nayo toka mwanzo.
Unaweza ukawa n kiwango kizur lkn kama huna nidhamu ni kazi bure ndo maana kila siku tunalilia tuwe n misingi mizuri ya kuwapata wachezaji like academy ambapo mchezaji anafundishwa misingi y mpira.Mchezaji katokea uswazi hajui hata element z profesional player anatakiw awaje hy ndo matokeo yke bt sikushangai unavyomtetea cz umejaza ushabiki 2 ujui lolote kuhusu ethic z football
 
izo ethics ziko bongo ndo maana maendeleo yetu ya soko yako juu kuliko wanapo toka watukutu na wasio na nidhamu kama joe bartoni, suarezi, diofu, balotel, del piero.

unashangaa wachezaji kutokea uswazi neymar, dinyo na wengi wao wametokea uswazi hao profesional player wako wa kutengenezwa wana mpira gani wa maana.
 
.
Screenshot_2018-04-30-15-45-48-1.jpg
 
izo ethics ziko bongo ndo maana maendeleo yetu ya soko yako juu kuliko wanapo toka watukutu na wasio na nidhamu kama joe bartoni, suarezi, diofu, balotel, del piero.

unashangaa wachezaji kutokea uswazi neymar, dinyo na wengi wao wametokea uswazi hao profesional player wako wa kutengenezwa wana mpira gani wa maana.
Kumbe ujui hata historia z wachezaji uliza hy neymay ameenda Santos ana umri gan ww au dinho alikuw anapelekw wap n baba yke kil ck kabl ajafa. Talent inaonekana uswaz bt malez y mpira n kwny academy ww.narudia tena mpir bila nidhamu n kazi bure jiulize hyo baloteli wko kafika wp n nidhamu yk mbovu ingawa ana talent kubw even Joe ?
 
mpira ni starehe ulaya mkuu sisi tunapoteza muda lini mpira umeanza kuwa starehe kwetu wakati umejaa ushirikina na upuuzi na mfanano wake.

kama mtuhumiwa kaamua kumuachia Mungu basi nasi tumuachie pia
Unalazimisha hoja kutetea upuuzi aliofanya Yondani.Mpira ni starehe ndo maana hata uwanja wa taifa ulijaa,wanaoshinda wanaburudika na walioshindwa wanahuzunika
 
Mkuu wengine starehe yetu ni mpira wa kibabe na matukio kama ya yondani hivyo tuko pamoja nyie mlijaa kuona burudani na wengine tulifurahi matukio ya kibabe
 
Kumbe ujui hata historia z wachezaji uliza hy neymay ameenda Santos ana umri gan ww au dinho alikuw anapelekw wap n baba yke kil ck kabl ajafa. Talent inaonekana uswaz bt malez y mpira n kwny academy ww.narudia tena mpir bila nidhamu n kazi bure jiulize hyo baloteli wko kafika wp n nidhamu yk mbovu ingawa ana talent kubw even Joe ?
mkuu mbona unajifunga sasa Tz academy za soka zimeanza lini hadi kutaka Yondani awe na malezi na nidhamu ya soka ili hali ukijua ajapita academy.

kama katokea uswazi na kufika hadi huko maana yake nidhamu ya soka (si yeye tu wote ambao hawakupita academy) ni haba kwa nini tuwalaumu.
 
Mkuu wengine starehe yetu ni mpira wa kibabe na matukio kama ya yondani hivyo tuko pamoja nyie mlijaa kuona burudani na wengine tulifurahi matukio ya kibabe
Hujielewi
 
Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
kwa hiyo kama anajua mpira ndo atemee wenzake mate sio???
 
MABANGI FC

MATE FC

MAKOHOZI FC

TEMATEMA FC

MIMBA FC

CHA NGURUWE FC
 
Back
Top Bottom