ushahidi mnao au mnalala naye hadi mjue..by the way mnaondoka kwenye mada mnaenda kwa ronaldo...ukweli utabaki pale pale alichofanya kwanza ni upuuzi mkubwa sana na ameonesha dharau ya ain yake kana kwamba amewatemea na TFF mana aalidhani kamera zimelala..nidhamu ya mpira inaongozwa na nidhamu ya mtu binafsi ...kama huwez kujiheshimu na kuwaheshimu binadamu wenzio hata mpira unaocheza hauna faida ..sasa heshima yako unayodai umejijengea eti unaitwa beki bora kumbe ni kondoo aliyevaa ngozi ya chui...na huyu nawahakikishia anafungiwa, ameiaibisha tasnia ya soka nchini, ameiabisha familia yake na amejiaibisha yeye mwenyewe ...ovyo kabisa