Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,627
Reaction score
1,926
Wakuu kwema?

Niende kwenye mada husika, nataka niagize TV kutoka China, nataka zile kubwa kuanzia 65" kuendelea smart ambazo kwa hapa Bongo naona Kama ziko expensive hivi.

Vipi logistics zake? Bei yake? Usalama wake? Na anything relating to this? Thanks in advance.
 
Hamna Mwenye clue juu ya hii kitu Wakuu?
 
Tembelea soko (Amazon Alibaba alixpress kikuu....nk?)
Angalia gharama za kutuma pia
 
Samsung 75 inch is 9800yuan
TCL 65 inch is 3800yuan
TCL 70 inch is 4200yuan

hyo ni bei ya mchina moja pale guangzhou mtaani.
Tv kwa kampuni nyingi wanabeba kwa 550/cbm
wengine 500usd/cbm(cubic meter).
sasa ili kujua gharama,unamulizia mchina wako kwamba tv pamoja na package ya mbao(ulinzi wa tv) ina cbm ngapi?
atakuambia mfano inch 65 ina 0.28
hesabu yake 0.28*550*2350=361900tsh.Hii ndyo gharama ya usafirishaji na kodi hapo ni kupokea tu tv yako kwa njia ya meli.Ndege wengi hawabebi tv
 
Kwa hii cbm na bei ya 3800 yuan ni kama 1.36M hivi ukiongeza na 361.9 hapo inakuja kwenye 1.8M hivi sasa is it worth it kwa bei zilizopo Kariakoo?
 
maana kariako bei ni kama inaelekea hyo,wachina wwngine wana bei balaaa
 
kuna moja ndonilimpata juzi anauza tcl 3200
hisence 2950 zote 65inch
 
flat and curve 65inch
mmexport1625896430432.jpg
mmexport1625740197518.jpg
 
Samsung 75 inch is 9800yuan
TCL 65 inch is 3800yuan
TCL 70 inch is 4200yuan

hyo ni bei ya mchina moja pale guangzhou mtaani.
Tv kwa kampuni nyingi wanabeba kwa 550/cbm
wengine 500usd/cbm(cubic meter).
sasa ili kujua gharama,unamulizia mchina wako kwamba tv pamoja na package ya mbao(ulinzi wa tv) ina cbm ngapi?
atakuambia mfano inch 65 ina 0.28
hesabu yake 0.28*550*2350=361900tsh.Hii ndyo gharama ya usafirishaji na kodi hapo ni kupokea tu tv yako kwa njia ya meli.Ndege wengi hawabebi tv
Huyu ni mchina yupi mkuu?
Una contact zake?
Na ni reseller huyu, vipi Manufacturer??
 
Bei inaweza kuwa ndogo, tatizo gharama za usafiri zinaweza kuwa mara 2 ya gharama ya tv.
 
kama bei ni around 1.8 mil kwa inch 65 ni bora ununue kkoo ambapo naona ss zimeshuka had 1.9 mil.
Ingawa ata mm napenda niagize kutoka china ila naona tatizo kubwa linakuja jinsi ya kuagiza na kupata uhakika kuwa pesa yako hautapigwa.Halafu pia ukiangalia unasave pesa kidogo sana na zilizopo kkooo mara nyng haizid laki 2.
 
Kama unanunua tv chini ya PC 10 kuanzia 65"

Nakushauri Bora TU ununue k'koo au Z'bar.
 
Back
Top Bottom