Moja tu for Domestic UsePc nganpi ???
Kwa hii cbm na bei ya 3800 yuan ni kama 1.36M hivi ukiongeza na 361.9 hapo inakuja kwenye 1.8M hivi sasa is it worth it kwa bei zilizopo Kariakoo?Samsung 75 inch is 9800yuan
TCL 65 inch is 3800yuan
TCL 70 inch is 4200yuan
hyo ni bei ya mchina moja pale guangzhou mtaani.
Tv kwa kampuni nyingi wanabeba kwa 550/cbm
wengine 500usd/cbm(cubic meter).
sasa ili kujua gharama,unamulizia mchina wako kwamba tv pamoja na package ya mbao(ulinzi wa tv) ina cbm ngapi?
atakuambia mfano inch 65 ina 0.28
hesabu yake 0.28*550*2350=361900tsh.Hii ndyo gharama ya usafirishaji na kodi hapo ni kupokea tu tv yako kwa njia ya meli.Ndege wengi hawabebi tv
Huyu ni mchina yupi mkuu?Samsung 75 inch is 9800yuan

Bei ganflat and curve 65inchView attachment 1855008View attachment 1855010