Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
- Thread starter
-
- #21
Inawezekama mkuu tukiwa na uthubutu kwa sababu viongozi wapo humu wa kutosha tu kana kwamba siri zetu zinavyohifadhiwa na kulindwaNimekusoma, lakini ku ratibu haya na namba za simu na mawasiliano? Ni jambo jema, ila utekelezaji kwa kuficha profile ni ngumu kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti kufunga magoli kwa menoMimi nitakuwa striker namba 9. Mayele mwenyewe ananifahamu. Nina uwezo wa kufunga magoli hata kwa meno.
Ha ha ha ha haaa.Labda tucheze mechi online huku huku.
Huu ni ujanja wa kiafande.
Muwapige picha halafu muanze kufinya mmoja mmoja mpaka na makocha wao?Mkuu humu majina yetu yapo kicode codes sasa hata tukifahamiana hakuna haja ya kuelezana majina tunayotumia humu.
Siku tukionana kila mmoja ana uhuru wa kutumia jina analopenda hata kama utataja real name kwa majina ya humu yatabaki humu humu
ili?Salaam wakuu!
Nina wazo hapa, hivi founder na moderators hamuwezi kuanzisha Jamii forum sport FC ambayo tunaweza alika team yoyote na tukakiwasha hata mara moja kwa mwaka ikaanzishwa Jamii forum bonanza.
Kisha baadhi yetu humu wakachaguana kisha tukasakata kabumbu ka miguu, netball, basketball, volleyball, mbio, kuogelea, n.k
Huu ni ushauri wangu tu na kama ipo basi naomba mwenye wasaa anifafanulie ili nifahamu.
JF Bonanza ni muhimu na itapendeza tutaweza kufahamiana wengi tu humu bila kikwazo hata hapa Dar pale Kijitonyama ground tunaweza sakaka kabumbu na wale wenye biashara zao wanaweza wakafika hapo kuuza ni fursa maridhawa hii.
Nawasilisha wenu Mtundu wa Tech
Tungetaka kufahamiana kama unavyotaka,basi humu Kila mtu angetumia jina lake halisi pamoja na kuweka taarifa zake nyingine za msingi ili kumtambulisha ikiwemo picha halisi!Salaam wakuu!
Nina wazo hapa, hivi founder na moderators hamuwezi kuanzisha Jamii forum sport FC ambayo tunaweza alika team yoyote na tukakiwasha hata mara moja kwa mwaka ikaanzishwa Jamii forum bonanza.
Kisha baadhi yetu humu wakachaguana kisha tukasakata kabumbu ka miguu, netball, basketball, volleyball, mbio, kuogelea, n.k
Huu ni ushauri wangu tu na kama ipo basi naomba mwenye wasaa anifafanulie ili nifahamu.
JF Bonanza ni muhimu na itapendeza tutaweza kufahamiana wengi tu humu bila kikwazo hata hapa Dar pale Kijitonyama ground tunaweza sakaka kabumbu na wale wenye biashara zao wanaweza wakafika hapo kuuza ni fursa maridhawa hii.
Nawasilisha wenu Mtundu wa Tech
Ziwe mbili ya wanawake na wanaumeSalaam wakuu!

Ni kweli kuna wengine wanawindwa usiku kucha humu. Kufahamiana ni kuharibu jamii forum