Kuhusu kuanzisha Jamii forum sports FC

Kuhusu kuanzisha Jamii forum sports FC

Nimekusoma, lakini ku ratibu haya na namba za simu na mawasiliano? Ni jambo jema, ila utekelezaji kwa kuficha profile ni ngumu kidogo.
Inawezekama mkuu tukiwa na uthubutu kwa sababu viongozi wapo humu wa kutosha tu kana kwamba siri zetu zinavyohifadhiwa na kulindwa
 
timu ya vigoli vidogo timu A inavua shati alafu timu B awavui.
mpira wa makaratasi kinachezwa cha ndimu akuna half timu wala faulo ni mbungi mwanzo mwisho.
 
Mkuu humu majina yetu yapo kicode codes sasa hata tukifahamiana hakuna haja ya kuelezana majina tunayotumia humu.

Siku tukionana kila mmoja ana uhuru wa kutumia jina analopenda hata kama utataja real name kwa majina ya humu yatabaki humu humu
Muwapige picha halafu muanze kufinya mmoja mmoja mpaka na makocha wao?

Muwapore simu na kuwadukua..

Nendeni timu za Insta aisee
 
Volleyball na basketball nipo hapaaaaa.
Hallah JF bonanza
 
KWANZA JF SIJAONA MCHEZAJI, UKIANGALIA NYUZI NYINGI UTAONA KUMEJAA MAKOCHA NA WACHAMBUZI HUMU..

Labda zianzishwe timu mitaani, waalimu wachukuliwe humu pamoja na wakurugenzi wa michezo.
 
Salaam wakuu!
Nina wazo hapa, hivi founder na moderators hamuwezi kuanzisha Jamii forum sport FC ambayo tunaweza alika team yoyote na tukakiwasha hata mara moja kwa mwaka ikaanzishwa Jamii forum bonanza.

Kisha baadhi yetu humu wakachaguana kisha tukasakata kabumbu ka miguu, netball, basketball, volleyball, mbio, kuogelea, n.k

Huu ni ushauri wangu tu na kama ipo basi naomba mwenye wasaa anifafanulie ili nifahamu.

JF Bonanza ni muhimu na itapendeza tutaweza kufahamiana wengi tu humu bila kikwazo hata hapa Dar pale Kijitonyama ground tunaweza sakaka kabumbu na wale wenye biashara zao wanaweza wakafika hapo kuuza ni fursa maridhawa hii.

Nawasilisha wenu Mtundu wa Tech
ili?

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Tungetaka kufahamiana kama unavyotaka,basi humu Kila mtu angetumia jina lake halisi pamoja na kuweka taarifa zake nyingine za msingi ili kumtambulisha ikiwemo picha halisi!
Wewe binafsi unatumia fake ID.
Mabonanza mengi ya jf yanakosa ushiriki mkubwa Kwa kuwa wengi wanaficha I'd zao! Isitoshe Kuna wengi wanafake maisha, so inatokea akijulikana mshangao mkubwa ikiwemo aibu au sifa nyingi atazipata!
 
Salaam wakuu!
Nina wazo hapa, hivi founder na moderators hamuwezi kuanzisha Jamii forum sport FC ambayo tunaweza alika team yoyote na tukakiwasha hata mara moja kwa mwaka ikaanzishwa Jamii forum bonanza.

Kisha baadhi yetu humu wakachaguana kisha tukasakata kabumbu ka miguu, netball, basketball, volleyball, mbio, kuogelea, n.k

Huu ni ushauri wangu tu na kama ipo basi naomba mwenye wasaa anifafanulie ili nifahamu.

JF Bonanza ni muhimu na itapendeza tutaweza kufahamiana wengi tu humu bila kikwazo hata hapa Dar pale Kijitonyama ground tunaweza sakaka kabumbu na wale wenye biashara zao wanaweza wakafika hapo kuuza ni fursa maridhawa hii.

Nawasilisha wenu Mtundu wa Tech
Ziwe mbili ya wanawake na wanaume
 
Back
Top Bottom