John Mwaisengela
Senior Member
- May 6, 2024
- 115
- 157
Mamlaka zimetoa kanuni mpya zinazowataka watu wote wanaofanya biashara kupitia mitandao ya kijamii kuonyesha Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN), Cheti cha TIN, au Cheti cha Usafishaji wa Kodi (Tax Clearance Certificate) kwenye kurasa au akaunti zao za mitandao hiyo.
Sharti hilo limeainishwa katika Kanuni za Usimamizi wa Kodi (Marekebisho ya Jumla) za mwaka 2026, zilizochapishwa kupitia Tangazo la Serikali Na. 158G la Juni 30, 2026.
Kwa mujibu wa kanuni hizo mpya, taarifa ya TIN au cheti cha ulipaji kodi inapaswa kuwekwa kwenye wasifu wa mtandao wa kijamii kwa namna ambayo inaonekana...

- Richer
- biashara mtandaoni kanuni za kodi kodi kwa wafanyabiashara
- Replies: 7
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo , leo nimefanikiwa kukutana na idara ya elimu tra na kuhitaji ufafanuzi. Nimeona nami niweze share na wenzangu humu maana nami nilikuwa sijui nini hasa walikuwa wanamaanisha.
Nimeambiwa kuwa wafanyabiashara wote huwa ni takwa kisheria kutundika tin namba zao kwenye maeneo yao ya biashara na imekuwa hivo muda mrefu tu.sasa kwa kuwa sasa hivi pia kuna biashara mitandaoni ndiyo kanuni hii imekuja kuwa nasi tunatakiwa kuziweka kwenye account zetu. Cha msingi siyo kutoa password zetu maana ni siri ya mwenye akaunti.
Sheria hii ilikuwepo ila kwa wafanyabiashara wa mitandaoni ndiyo wanasema ilikuwa haijawafikia na kwa kuwa biashara ya mitandaoni imeshamiri kwa sasa