TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Maxence Melo naomba mwongozo.
Mimi ni muhanga wa kufatwa pm na kuombwa kusapoti kupigia kura (wenyewe mnasema ku-vote) mada ya wadau wanaoshiriki shindano la story of change. Na kiukweli sina roho mbaya kihivyo kwahiyo nikawa natoa vote za kutosha tuu kwa walionijia tena sometimes bila hata kusoma story yenyewe. Na hapa nafikiri tupo wengi tunaogawa tu vote baada ya kufatwa huko inboxini.
Sasa nipe mwongozo kwa haya maswali yangu.
1. Je huku kuombwa sapoti kunaruhusiwa kulingana na masharti ya shindano?
2. Kama ni ruksa Unafikiri kuna uhalali wa kura zinazopatikana baada ya mshiriki kuomba sapoti na akapewa?
3. Kama sio ruksa, je tunaweza tukaziweka katika kundi la kuomba rushwa ya kujuana?
Maswali mengine yatatokana na majibu nitakayopewa.
BY THE WAY MWAKA HUU NA MIMI NIMEHAMASIKA KUSHIRIKI - SO NAOMBENI SAPOTI YENU
Tai Dume