King gorani
Member
- Oct 30, 2020
- 35
- 36
Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi pia yaani wanajikuta wanachangia pato kubwa sana kwa serikali, inabidi serikali iangalie ifute baadhi ya tozo kwa watumishi kama za stand za barabarani na kadhalika