King gorani
Member
- Oct 30, 2020
- 35
- 36
Mkuu Kwanini Iwe tu kwa Watumishi si Kwa wananchi wote hasa ambao wamejiajiri Huoni itakua ni Favour Kandamizi maana na wao Wanachangia kodi na Tozo Nyingi zaidi ya watumishi.Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya posho unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna posho zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi pia yaani wanajikuta wanachangia pato kubwa sana kwa serikali, inabidi serikali iangalie ifute baadhi ya posho kwa watumishi kama za stand za barabarani na kadhalika
TozoNi Posho au tozo?
Ni kweli ila utakuta huyo mtumishi anakatwa pay as you earn lakini pia nae Ana biashara huko anakatwa tena kama mfanyabiashara wa kawaidaMkuu Kwanini Iwe tu kwa Watumishi si Kwa wananchi wote hasa ambao wamejiajiri Huoni itakua ni Favour Kandamizi maana na wao Wanachangia kodi na Tozo Nyingi zaidi ya watumishi.
Mawazo tu maana nmekuta sehemuwamekusikia
Hata mm sijamwelewa.Ni Posho au tozo?
ImerekebishwaHata mm sijamwelewa.
Asante- ngoja niifuatilie.Imerekebishwa
KwakweliHiyo haiwezekani. Maana sio rahisi kujua huyu ni mtumishi wa umma na yule sio. Ni bora ungesema watumishi mpambane PAYE ipunguzwe.