Na yule Mama aliyevaa mgauni wa ajabu kwenye picha na Faru Ndugai naye ni kimada wa kigogo? Basi huyo kigogo atakuwa na Ugwadu siyo wa nchi hiiWametolewa watu kafara lakini mpango mzima watu wanao wote wale ni vimada wa vigogo wa chama!
Ni maoni yangu kuwa dhambi hii ya kughushi ikizoeleka na kukubalika, basi si maadili tu lakini mengi yata aathirika ikiwa ni pamoja na amani na demokrasia.
Tumwogope Mungu, kuggushi ni uongo na uongo ni sifa kuu ya Ibilisi.
Lakini mbona awamu hii wameshughulikia vyeti feki kwa umahiri?Toka awamu hii ya tano imeingia madarakani kuna kugushi na upikaji mwingi wa data ili kuhadaa umma. Ile list ya ajira za waalimu ni aibu ya karne. Kundi lile lile liliondaa uchaguzi wa kugushi, ndio hilo hilo limegushi idadi fake ya ajira za waalimu, ili kuhadaa wananchi kwamba mambo ni mazuri.
Kwani hana kibanio!Na yule Mama aliyevaa mgauni wa ajabu kwenye picha na Faru Ndugai naye ni kimada wa kigogo? Basi huyo kigogo atakuwa na Ugwadu siyo wa nchi hii
Kama jina la nchi lina makosa hayo mengine ni mwendelezo tu wa ujinga wa ccmKumekuwa na mawazo kwamba ofisi zenye mamlaka zinafanya fojari kwenye taarifa zake kwa faida za kisiasa. Japo hili halijathibitishwa.
Mfano
Mnyika wa Chadema amesema hajapeleka majina yoyote NEC ila NEC inasema Mnyika amesaini barua yenye majina ya covid 19 hapa Kuna harufu ya fojari au Mnyika anadanganya.
Swali.
Je Kama ikithibitika Mnyika hajapeleka majina hayo unaweza ukaitishwa uchunguzi wa kijinai baada ya huyo aliefoji sahihi ya Mnyika kudhaniwa analindwa na mfumo uliopo madarakani Sasa?
Je Taifa si ni haki lijue mbivu na mbichi juu ya Mnyika vs NEC? Hata Kama ni baada ya 10+ yrs toka Sasa?
Tunapoapa kuitumikia nchi kwa ukweli na Mungu atusaidie, kiapo kile si kwa Mungu feki.Nilishasema kwa sasa kila kitu ni haramu katika nchii
Lakini mbona awamu hii wameshughulikia vyeti feki kwa umahiri?
Tatizo liko wapi?
Umesahau mara hii kuhusu Bashite na PhD ya JiweLakini mbona awamu hii wameshughulikia vyeti feki kwa umahiri?
Tatizo liko wapi?