Kuhusu kughushi Serikalini, Je, Mtu anaweza kushtakiwa hata mfumo unaomlinda ukiondoka madarakani?

Kuhusu kughushi Serikalini, Je, Mtu anaweza kushtakiwa hata mfumo unaomlinda ukiondoka madarakani?

Ni matendo ya aibu sana na hayapendezi. Tumuogope Mungu wa kweli na tuache Siasa kwenye masuala ya Msingi
Mzee Mkapa aliwahi kuwa na sera za "Ukweli na Uwazi".
Ni sera za kiungwana.
Tunapoteza heshima katika jamii kama forgeries zinakuwa msingi wa kuendesha demokrasia yetu.
 
Back
Top Bottom