Siku hizi watu wanakula kwa urefu wa kamba.. vipi umewaongezea urefu wa kamba ama unajifanya hujui kinachoendelea.Habari ndugu wanajamiii forum,mm ni mtumishi wa taasisi fulani ya serikali, nlipata nafasi ya kuhamia katika taasisi fulani hapa nchini, na barua yangu ilipitishwa na mwajiri wangu, Ila Sasa barua tangu nimetuma utumishi had Sasa cjajibiwa na kila ukiuliza wanajibu inashughulikiwa, wadau naombeni msaada wenu nifanye kitu gani niweze kupata msaada kwa urahisi
Tunashukuru kwa muongozoSubira yavuta kheri, ila usiache kufuatilia...
Mtu akiwa na dharura inakuwaj mkuu au mtu anaweza fuata utaratibu gan ili kupata msaada manake nna dharura ambayo inanilazim kuwepo sehem husikaBarua huwa zinachukua muda mrefu wanadai wanashughulikia kuwa mvumilivu mimi yangu ilichukua muda mrefu mwaka mzima na kidogo
May b utafute tu mtu akupambanie huko juu mi nilisubr tuMtu akiwa na dharura inakuwaj mkuu au mtu anaweza fuata utaratibu gan ili kupata msaada manake nna dharura ambayo inanilazim kuwepo sehem husika
Kalia Hayo Hayo Mpaka MwishoPrivacy mkuu
NDugu unashindwa hta kusema imechukua muda Gani tangia utume?? KMa uko ndan ya miez sita sio mbaya. Endelea kusubirHabari ndugu wanajamiii forum, mimi ni mtumishi wa taasisi fulani ya serikali, nilipata nafasi ya kuhamia katika taasisi fulani hapa nchini na barua yangu ilipitishwa na mwajiri wangu, Ila Sasa barua tangu nimetuma utumishi hadi sasa sijajibiwa na kila ukiuliza wanajibu inashughulikiwa, wadau naombeni msaada wenu nifanye kitu gani niweze kupata msaada kwa urahisi.
Cjakuelewaa mkuu nifafanulie kdogo
hivi kwa sasa ule mfumo wa makaratasi haufanyi kaziNchi ya kitu kidogo,ingawa sasa mambo yamehami kwenye mfumo.