Teremaro
Member
- Mar 18, 2022
- 29
- 26
Habari ndugu wanajamiii forum, mimi ni mtumishi wa taasisi fulani ya serikali, nilipata nafasi ya kuhamia katika taasisi fulani hapa nchini na barua yangu ilipitishwa na mwajiri wangu, Ila Sasa barua tangu nimetuma utumishi hadi sasa sijajibiwa na kila ukiuliza wanajibu inashughulikiwa, wadau naombeni msaada wenu nifanye kitu gani niweze kupata msaada kwa urahisi.